DOKEZO Vyombo vya ulinzi na Usalama taarifa hii naomba muichukulie kwa uzito mkubwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tukiacha jokes za JF, ila Paul Kagame kajipenyeza sehemu zote nyeti, ule mpango wa bahima empire kuitawala Kanda yote ipo siku itatimia

Bila wazee kumaliza mission fulani huenda Leo mpango ungeshakamilika
Kabla haujatimia atakuwa amekufa kwa uzee
 
Naona mnavyojifariji,kati ya watu wako smart na sio wa kuchukulia poa basi ni kagame, hapa ametuma ujumbe amemute anasubiri reaction.
Ukubwa wa nchi usiwape kiburi,na vile sasa hivi usalama watu wanaingia kwa vimemo basi tusijiamini sana.
Mara nyingi nimekuwa nikiwambia kwa namna JWTZ walivyobweteka mtu unaweza kuingia zako kambini bila hata kustukiwa,nawapa pole maana sasa hivi majeshi yote wanaingia kwa kutafuta ajira tena uwe na connection na siyo uzalendo t kwa hiyo ufanisi unapungua kila siku.
ONYO.Jeshi letu ni la sita kwa ubora kwa hiyo mtu yeyote asijichanganye atajuta

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Upo sahii mkuu

Si mlaumu kagame, amefanya kazi nzuri, lkn sasa afanye ya kuwaona wanyaRwanda wote ni kitu kimoja. Ahubiri maridhiano na kusameheana na upendo. Akumbuke kwamba hata akifikisha miaka mingapi, bado ataondoka. Sasa afikirie akiondoka, atawaacheje wananchi wakee. Isije ikawa kama Sudan, baada ya kuondoka Bashir nchi imegeuka machinjio na uwanja wa vita.
 

Kwa kiasi fulani yuko hivyo. Lkn asijisahau kwamba yeye ataishi kama mlima. Kuna siku ataondoka. Swali la kujiuliza; akiondoka ataiachaje rwanda na watu wake?
 
Huko mbeya yupo dogo mmoja alitengeneza www.com ya ikulu na ya mkuu wa mkoa.

Acha mvua zinyeshe tujue panapovuja
 
Wabongo tunapenda Sana kujifariji laiti tungejua,hao miamb wanawatu wao Hadi wa kufoji vyeti na kuingizwa jeshini rasmi

Siibez nchi yangu,ila hakuna muda wa kua makini hivi sasa na baadae
Mkuu kama unawafahamu watu wa namna hiyo kwanini, tusiwataje kwa Mamlaka ziwachukulie hatua?
 
Na akitaka apewe details za biashara zipi wanafanya nchi za jirani ili kujiimarisha atawapewa?
 
Hayo ni Mambo madogo Sana ndugu,usituaminishe kuwa WAHA sio raia WA TZ.
Na wamasai,wajaluo,wamakonde,wanyasa,wailaki.
Hayo Mambo yalishapitwa na wakati.
Mjifunze kupitia Malekani,Canada mda mwingine.
Hivi Kuna Nchi Dunia ya Leo ambayo Ina watu mchanganyiko Kama Malekani.
Mbona majukumu yako palepale na unapewa ulaia kiroho safi.
Unaweza kuwa raia WA kuzaliwa usiwe na impact yoyote kwa Nchi yako.
So,Kigoma KAGERA iachieni iwe sehemu ya Rwanda basi.
Msome historia ya Nchi,kuanzia kwa machifu.
Mabalozi wetu WA CCM wao kazi yao ni kumsifia viongozi na kuhusudu teuzi.
Endeleeni hivyo hivyo na CCM yenu.

Wenzetu 90% ya mabalozi wao ni vitengo,au askari kabisa.
Sisi huku ni makada WA chama,shwaini.
 
 
nina hamu wa2vamie,,,ili tuingie rwanda nijikamatie pisi kali ya ki2si,,,,,,,nimpige mikasi mpaka anipatie mtoto!!!!
 
Rwanda hana cha kuifanya Tz, labda kwenye ujasusi wa kiuchumi maana Kagame ni smart sana ila tz tuna wachumi wa kukariri na kufundisha vyuoni na kutamba bungeni ila hawajatusaidia lolote la maana zaidi ya kuishi kwa neema ya Mungu na utitiri wa rasilimali zetu sie wakopaji mashuhuri, ila ujasusi wa kidola rwanda hana la kuitisha tz... waendelee kuwaburuza wa congo maana congo nako viongozi ni wapigaji hawajawa serious na m23.
kwahyo kwa tz rwanda ni bwana mdogo sana.
 
Niliwahi kusimuliwa kwamba miaka hiyo kitambo Waburundi waliwahi kuja na 5Bs wakiwa na mpango wa kuivamia Tz na kuliteka eneo la kaskazini mwa wilaya ya Ngara(Bugufi). Sijui nini kilitokea wakaingia mitini na mission yao so naona na Wanyarwanda wana mission na Kigoma.

Butebe
Butebuke
Bugufi
Buzaba
 Burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…