Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

Gentleman,
ni nani huyo ambae anataka Uchaguzi uende anavyotaka yeye?

ni huyo kibaka na tapeli wa kisiasa mropokaji anaesota korokoroni aliedhani hali ya utimamu wa akili na mwili wake inampa kibali cha kukiuka sheria?

au ni huyo tapeli wa kisiasa asie amini katika maridhiano ispokua misimamo wa mabereru wanaomfadhili na kumtuma kuchochea chuki, fujo na vurugu nchini?

haki inaambatana na wajibu,
wahalifu na wakiuka sheria lazima wawajibishwe kulingana na sheria bila huruma.

ni vizuri kuwapa nafasi vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒
Wewe boya umeshapanic. Sikiliza maneno yake naomba ninukuu; "Hawa watu wasiopenda mabadiliko ya sheria zetu, watatuumiza sana na hata kutuua. Lakini, je wakituua ndiyo kusema wao watapata amani ndani ya mioyo yao? Je wakituua sisi wao wataishi miaka 200 au milele?? Kufa kupo kwa kila mmoja wetu. Ila ni kututanguliza tu."

Wenye masikio wamesikia na wenye macho wameona.
 
sasa gentleman,
kwamba hayo unayonukuu ndio mambo mapya kweli kweli, ndio mtu atishike kwamba ni jambo geni na wanadamu hawajui kwamba kuna siku watakufa, right ?🤣

that's nonsense,
ni kukosa hoja na kujaribu kuupaka mafuta uropokaji kitu ambacho ni completely useless 🐒
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Ccm inaamini vyombo vya ulinzi ni vyake....
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC

Vyombo vya mama
😀😀
 
Ikitokea Jeshi lime chukua hii nchi au Chama Kingine kazi ya kwanza ni kuvunja Kitengo cha Siasa TISS. Chanzo kikuu cha nchi hii kuwa masikini na kukosa maendeleo ya uhakika ni Kufungamana na CCM na TISS kupitia kitengo cha siasa cha TISS
Hicho kitengo cha siasa ndani ya tiss kina-operate independently? samaki 3 wanaweza kuwa wameoza wakati wengine 7 wakawa salama kwenye kapu moja..? Akili zingine, sijui ana wabaya wake kitengo cha siasa tiss..?
 
sasa gentleman,
kwamba hayo unayonukuu ndio mambo mapya kweli kweli, ndio mtu atishike kwamba ni jambo geni na wanadamu hawajui kwamba kuna siku watakufa, right ?🤣

that's nonsense,
ni kukosa hoja na kujaribu kuupaka mafuta uropokaji kitu ambacho ni completely useless 🐒
Hayo mawqzo yako ni upungufu wa matimizi ya akili yako
 
Hayo mawqzo yako ni upungufu wa matimizi ya akili yako
ni mawazo ya kila mwanadamu kwamba nafsi yake siku moja itaonja umauti,

lakini kuja kumbwelambwela hapa ati ng'we ng'we ng'we nani sijui ajue kwamba hawezi kuishi milele that's nonsense gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom