Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,189
Reaction score
6,140
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
 
Unajua nchi nyingi zimekufa kama CCM wanavyo toa mifano kumbe mifano ndio inawafata wao
 
Siku zote ukiwa unafanya jambo ambalo sio haki kwa jamii au unashabikia jambo ambalo unajua sio la haki kwa sababu tu wewe ni shabiki wa upande fulani jua kuwa una roho ya ushetani ndani yako na ni dhambi kama dhambi nyingine.

Haki huinua taifa.
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Gentleman,
ni nani huyo ambae anataka Uchaguzi uende anavyotaka yeye?

ni huyo kibaka na tapeli wa kisiasa mropokaji anaesota korokoroni aliedhani hali ya utimamu wa akili na mwili wake inampa kibali cha kukiuka sheria?

au ni huyo tapeli wa kisiasa asie amini katika maridhiano ispokua misimamo wa mabereru wanaomfadhili na kumtuma kuchochea chuki, fujo na vurugu nchini?

haki inaambatana na wajibu,
wahalifu na wakiuka sheria lazima wawajibishwe kulingana na sheria bila huruma.

ni vizuri kuwapa nafasi vyombo vya ulinzi na usalama kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tui
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Mungu awabariki Watumishi wa Mungu.
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Kukaa kimya ni kusalimu amri ya kutekeleza majukumu ya kijamii, ni sawa kuitekekeza jamii iharibikiwe

Silence surrenders public responsibilities
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Ccm wamezoea vya kunyonga na kulia gizan
 
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Hivyo hivyo vyombo ndio viko bega kwa bega na ccm
 
Viongozi wa hivyo vyombo ni wanufaika wa uwepo wa CCM madarakani.

Watawezaje kukata tawi walilokalia? Inahitaji uzalendo wa kipekee sana ambao wengi wa watanzania hawana.
 
Vyombo vya usalama vimekaa kichawa chawa tu. Ni full ccm na ndugu zao.
Ikitokea Jeshi lime chukua hii nchi au Chama Kingine kazi ya kwanza ni kuvunja Kitengo cha Siasa TISS. Chanzo kikuu cha nchi hii kuwa masikini na kukosa maendeleo ya uhakika ni Kufungamana na CCM na TISS kupitia kitengo cha siasa cha TISS
 
Back
Top Bottom