Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

Wewe boya umeshapanic. Sikiliza maneno yake naomba ninukuu; "Hawa watu wasiopenda mabadiliko ya sheria zetu, watatuumiza sana na hata kutuua. Lakini, je wakituua ndiyo kusema wao watapata amani ndani ya mioyo yao? Je wakituua sisi wao wataishi miaka 200 au milele?? Kufa kupo kwa kila mmoja wetu. Ila ni kututanguliza tu."

Wenye masikio wamesikia na wenye macho wameona.
 
sasa gentleman,
kwamba hayo unayonukuu ndio mambo mapya kweli kweli, ndio mtu atishike kwamba ni jambo geni na wanadamu hawajui kwamba kuna siku watakufa, right ?🤣

that's nonsense,
ni kukosa hoja na kujaribu kuupaka mafuta uropokaji kitu ambacho ni completely useless 🐒
 
Ccm inaamini vyombo vya ulinzi ni vyake....
 

Vyombo vya mama
😀😀
 
Ikitokea Jeshi lime chukua hii nchi au Chama Kingine kazi ya kwanza ni kuvunja Kitengo cha Siasa TISS. Chanzo kikuu cha nchi hii kuwa masikini na kukosa maendeleo ya uhakika ni Kufungamana na CCM na TISS kupitia kitengo cha siasa cha TISS
Hicho kitengo cha siasa ndani ya tiss kina-operate independently? samaki 3 wanaweza kuwa wameoza wakati wengine 7 wakawa salama kwenye kapu moja..? Akili zingine, sijui ana wabaya wake kitengo cha siasa tiss..?
 
Hayo mawqzo yako ni upungufu wa matimizi ya akili yako
 
Hayo mawqzo yako ni upungufu wa matimizi ya akili yako
ni mawazo ya kila mwanadamu kwamba nafsi yake siku moja itaonja umauti,

lakini kuja kumbwelambwela hapa ati ng'we ng'we ng'we nani sijui ajue kwamba hawezi kuishi milele that's nonsense gentleman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…