Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo Sasa waseme walimpanani taarifa za mteja wao Lissu.Katika mazingira ya Tanzania ambapo kulishatokea matukio ya kigaidi, kama shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na matukio ya vurugu za Kibiti, vyombo vya usalama vya serikali (Intelligence community) vinategemewa kufuatilia mawasiliano ya watu kwa sababu za kiusalama Vyombo hivyo ni pamoja na ;
1. Jeshi la Polisi (Tanzania Police Force): Hiki ni chombo cha msingi cha ulinzi wa ndani kinachoshughulikia masuala ya uhalifu wa ndani na usalama wa umma. Polisi wana vitengo maalum kama vile: Kitengo cha Uhalifu wa Kimtandao kinachoshughulikia ufuatiliaji wa mawasiliano ya mtandao, ambapo inaweza kufuatilia mawasiliano ya simu na mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuchunguza vitisho vya kiusalama. 2. Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (Criminal Investigation Department - CID), ambayo huchunguza makosa makubwa ikiwa ni pamoja na ugaidi na huweza kuomba vibali vya kufuatilia mawasiliano ya watuhumiwa.
3.Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ugaidi (National Counter-Terrorism Center - NCTC): Taasisi hii ni sehemu ya serikali inayohusika moja kwa moja na vita dhidi ya ugaidi. NCTC ina uwezo wa kuchunguza, kufuatilia na kuchambua taarifa za kigaidi ikiwa ni pamoja na kuingilia mawasiliano ya watu wanaoshukiwa kuhusika na shughuli za kigaidi.
4. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Uhalifu wa Kiuchumi na Utakatishaji wa Fedha (Financial Intelligence Unit - FIU): Chombo hiki kinaweza kufuatilia mawasiliano ya kifedha yanayohusiana na ufadhili wa shughuli za kigaidi. FIU hufuatilia miamala na mawasiliano ya kifedha kwa lengo la kudhibiti uhalifu wa kiuchumi unaoweza kufadhili vitendo vya kigaidi.
Pia soma: Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
5. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ): Katika mazingira ya tishio la kiusalama, JWTZ linaweza kushirikiana na vyombo vingine vya ujasusi kufanya ufuatiliaji wa mawasiliano, haswa katika maeneo yenye migogoro kama ilivyokuwa katika matukio ya Kibiti. JWTZ hushirikiana na vyombo vya usalama vya kitaifa kulinda mipaka na usalama wa kitaifa.
6. Shirika la Ujasusi la Tanzania (Tanzania Intelligence and Security Services - TISS): Hiki ni chombo cha ujasusi wa ndani na nje kinachojihusisha na ufuatiliaji wa vitisho vya usalama wa taifa, ikiwemo ugaidi. TISS hufuatilia taarifa za kijasusi kupitia mawasiliano ya simu, barua pepe, na mitandao ya kijamii, hususan kwa watu wanaoshukiwa kuhusika na vitendo vya uhalifu wa kimataifa na kigaidi.
7. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tanzania Communications Regulatory Authority - TCRA): TCRA inasimamia mawasiliano ya simu na mitandao nchini. Kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, TCRA inaweza kutoa taarifa kuhusu mawasiliano ya watu wanaotuhumiwa kuhusika na vitendo vya kigaidi, kama vile kutoa rekodi za simu au shughuli za mtandaoni kwa mamlaka husika za kiusalama. Kwa ujumla, vyombo hivi vinaweza kushirikiana, hasa kwa kuwa ugaidi na matukio ya usalama kama yaliyotokea Kibiti ni masuala ya kitaifa yanayohitaji uratibu wa vyombo vingi vya usalama kwa lengo la kulinda taifa dhidi ya vitisho.
Mwanahabari John Marwa wa Jambo TV alimuuliza Lissu swali ikiwa ziko taratibu za kisheria na taasisi zinazoweza kufuatilia mawasiliano. HAKUJIBU swali lile. Naamini alikwepa kujibu kwa makusudi maana lilikuwa linamtaka ajinyonge kwa kamba yake mwenyewe. Alicho "shindwa" Kujibu Lissu, sisi tunamfundisha.
Hii ndiyo nini...?Cabinet Office files released in 2013 show that on or before 5 December 1936, the Home Secretary, Sir John Simon, had ordered the General Post Office (which controlled British telephone services) to intercept "telephone communications between Fort Belvedere and Buckingham Palace on the one hand and the continent of Europe on the other"
Tukikuacha unaona unajua sana - please leave your ego at the doorHii ndiyo nini...?
Fafanua ili tukuelewe. Kwanini unaokoteza vijitaarifa nusunusu kisha una copy na ku - paste tu bila maelezo....?
Au wewe ndiye Cyprian Musiba aliyeshindwa kutetea hoja hii akiwa kwenye live TV camera kama unavyohangaika wewe?
Eleza, huyo "Home Scretary Sir John Simon alitoa order hiyo kwa kutumia parameters zipi? Katika misingi ya kisheria au kienyeji tu kama Magufuli kwa Lissu 2017?
Fafanua ili tukusaidie kukujengea ufahamu wa mambo hayo utoke kwenye ujinga uwe mwerevu...
Toa precedent mkuu. Kesi ya Boniface ndo ulinganishe na tuhuma za kushirikiana na magaidi, ama kufanya espionage, ama uhujumu uchumi???.... Tupe precedent ya mambo unayosemaHuhitaji kuchimba historia ya kesi za nyuma...
Mojawapo ni hii inayoendelea sasa ya Ex Mayor Boniface Jacob wa CHADEMA vs Polisi...
Boniface Jacob amekataa kuwapa acces polisi ku - intrude privacy ya mawasiliano yake ya simu....
Police wameiomba mahakama itoe amri ya kisheria (court order) kumtaka Biniface Jacob atoe access ya simu zake ili zichunguzwe...
KUMBUKA: Amri hii haitolewi tu kwa kuwa polisi wametaka hivyo simply tu kwa sbb wao ni polisi. Amri hii hutolewa kwa kujenga hoja za kisheria na mahamkama ikiona hoja zako zina make sense, inaweza kutoa amri hiyo....
Hata polisi wanapokuja ku - search nyumbani kwako, lazima wawe na amri aidha ya mhakama au afisa fulani mkubwa wa polisi kwa cheo chake anayetambuliwa na sheria...
Hata kwa Tundu Lissu mwaka 2017 utaratibu huu wa kisheria ndiyo ulipaswa ufuatwe...
Lakini cha ajabu Magufuli, mtu mzima kabisa na akili zake timamu, msomi na Rais wa nchi aliyeapa kuilinda katiba akaamua kufanya ujinga na upumbavu ule kutaka kuua mtu kwa interests zake binafsi za kisiasa tu kwa kisingizio cha "usalama wa nchi..."
Huo ulikuwa ni ujinga na wehu kwa 100%...
Toa precedent mkuu. Kesi ya Boniface ndo ulinganishe na tuhuma za kushirikiana na magaidi, ama kufanya espionage, ama uhujumu uchumi???.... Tupe precedent ya mambo unayosema
Sikiliza ndugu comte, mimi ninajua, nina ufahamu na uelewa kutokana shule niliyonayo, sina "negative ego" ndani yangu. Kama umeiona, basi ni "positive ego...."Tukikuacha unaona unajua sana - please leave your ego at the door
Unataka precedent wakati sheria iko wazi na unaweza kuisoma na kuielewa? Au na hilo ni tatizo kwako? Ipi iko juu "precedent" au "sheria ya makosa ya jinai yenyewe" + "katiba ya nchi...?"Toa precedent mkuu..
Unam - refer nani hapa? Nani ana kesi ya ugaidi, espionage na uhujumu uchumi? Unaelewa maana ya neno "ugaidi" na "gaidi?"Kesi ya Boniface ndo ulinganishe na tuhuma za kushirikiana na magaidi, ama kufanya espionage, ama uhujumu uchumi???....
Mambo gani ninayosema mwanasheria wa UVCCM?Tupe precedent ya mambo unayosema
Nimesoma mpaka mwisho sijaona precedent yoyote.. Nafikiri ni safe kusema hauna. Nitakuelewa.Unataka precedent wakati sheria iko wazi na unaweza kuisoma na kuielewa? Au na hilo ni tatizo kwako? Ipi iko juu "precedent" au "sheria ya makosa ya jinai yenyewe" + "katiba ya nchi...?"
Hypothethically, Palm beach anashukiwa kushirikiana na Alshabaab. Inabidi kufuatilia mawasiliano yake. Katika scenario kama hii, na kwa thesis yako, nani ataomba kibali wapi, na kinatolewaje na kikishatolewa kinapaswa kufahamika kwa nani? Kinatangazwa hadharani???Unam - refer nani hapa? Nani ana kesi ya ugaidi, espionage na uhujumu uchumi? Unaelewa maana ya neno "ugaidi" na "gaidi?"
I think this is another proof that, najadiluana na mtu very ignorant wa mambo haya lakini yeye anafikiri anajua...!
Pole...Nimesoma mpaka mwisho sijaona precedent yoyote.. Nafikiri ni safe kusema hauna. Nitakuelewa.
Hakuna precedent hata hapa. Kumbe haipo?Pole...
Nadhani yafaa sana kusema, nimeshamalizana na wewe...
Usiendelee kudanganya watu kwa mambo usiyo na ufahamu nayo..
Duuh🤔🤔🤔🤔..Hypothethically, Palm beach anashukiwa kushirikiana na Alshabaab. Inabidi kufuatilia mawasiliano yake. Katika scenario kama hii, na kwa thesis yako, nani ataomba kibali wapi, na kinatolewaje na kikishatolewa kinapaswa kufahamika kwa nani? Kinatangazwa hadharani???
Naomba majibu... Acha janjajanja. Toa jibu hapo tuoneDuuh🤔🤔🤔🤔..
Hivi wewe unajua hata unachoandika kweli...?
Ishara zote zaonesha kuwa, umeshasahau hata hoja yako uliyoianzisha mwenyewe...
You're completely off the track dude...!!!!
Mbona kadiri ninavyojaribu kukusogeza kufungua ufahamu wako, ndivyo unavyozidi kukimbia na kutokomea na kuwa mjinga zaidi na zaidi tu...??
What's your problem brother...?
Kwa hiyo ukifahamu kama mtu anawasiliana na alishabab ( tuchukulie mfano lisu alikuwa anawasiliana na alshabab).Hypothethically, Palm beach anashukiwa kushirikiana na Alshabaab. Inabidi kufuatilia mawasiliano yake. Katika scenario kama hii, na kwa thesis yako, nani ataomba kibali wapi, na kinatolewaje na kikishatolewa kinapaswa kufahamika kwa nani? Kinatangazwa hadharani???
Hoja ni kufuatilia mawasiliano 'survailance' . Hayo mengine mnaongeza wenyewe kwa mapenzi yenu. Siyo hoja yanguKwa hiyo ukifahamu kama mtu anawasiliana na alishabab ( tuchukulie mfano lisu alikuwa anawasiliana na alshabab).
Kwa hiyo kwa mujibu wa sheria na taratibu zetu ikigundulika kama mtu anawasiliana na alshabab serikali inaamua ina tuma watu wampige risasi?
Kuna watu mna bery poor reasoning and argumentation
Lissu alilijibu SWALI hilo kwa kumwambia ni mpaka hati ya mahakama ipatikane ndipo mawasiliano yanaweza kuchunguzwaKatika mazingira ya Tanzania ambapo kulishatokea matukio ya kigaidi, kama shambulio la bomu kwenye ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na matukio ya vurugu za Kibiti, vyombo vya usalama vya serikali (Intelligence community) vinategemewa kufuatilia mawasiliano ya watu kwa sababu za kiusalama Vyombo hivyo ni pamoja na ;