Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten wanaweza kujikomba kwake.
Kwa trend hii, NI kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru? Uhuru gani wakumkataa MTU Leo na kumkubali kesho? Leo mnasema msaliti kesho mnashirikiana naye Bila kutueleza ameacha lini kuwa msaliti...mnatuchanganya Kwa kweli. Tushike lipi?