Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ndio uhuru wenyewe huo yakhe.Uhuru gani wakumkataa MTU Leo na kumkubali kesho?
Teh tehNaona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten wanaweza kujikomba kwake.
Kwa trend hii, NI kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru? Uhuru gani wakumkataa MTU Leo na kumkubali kesho? Leo mnasema msaliti kesho mnashirikiana naye Bila kutueleza ameacha lini kuwa msaliti...mnatuchanganya Kwa kweli. Tushike lipi?
Hata na wewe umekuwa kachombo ka habari za Mh Lissu....kila siku kabla kunya mavi au kutapika uharo hapa lazima atajwe na weweVyombo gani?
Jambo TV na Clouds?
Hata achafuliwe vipi matendo yake yatamsafisha tu.Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten wanaweza kujikomba kwake.
Kwa trend hii, NI kweli kwamba vyombo vya habari vipo huru? Uhuru gani wakumkataa MTU Leo na kumkubali kesho? Leo mnasema msaliti kesho mnashirikiana naye Bila kutueleza ameacha lini kuwa msaliti...mnatuchanganya Kwa kweli. Tushike lipi?
Punguza wivu wa kike JoVyombo gani?
Jambo TV na Clouds?
Punguza wivu wa kike JoVyombo gani?
Jambo TV na Clouds?
Awe makini na hizo microphonesNaona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Vilijazwa hofu.Sasa wanaona wakimualika chanel zao zitakuwa na watazamaji wengi,comets nk.Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.