A
wataaanza kumtafuta mpiga picha au sio😃😄😄Sasa hapo badala ya kufanya ukarabati watahangaika kumtafuta mtoa taarifa
Tunawaweka hatarini watoto wetu huko mashuleni, ukizingatia hizi mvua vipindupindu ni kugusa tuVyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye vyoo hivyo.
Inasikitisha sana maana watoto wetu kila wakati wanaugua UTIMuonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye vyoo hivyo.
Kukosekana kwa matunzo ya vyoo na usimamizi wa usafi kumeifanya shule hiyo kuwa katika hatari ya kukumbwa na milipuko ya magonjwa ya kuambukiza kama kipindupindu na minyoo.