DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

DOKEZO Vyoo vya UDOM ni hatari kwa afya ya watumiaji wake

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watanzania hawana kabisa utamudi wa kuwa na vyoo visafi, kuanzia majumbani.

Vyoo ni shida Tanzania nzima, nilikwenda wizara fulani, baada ya muhusika kunigandisha nikaamuwa niende nikajisaidie nisepe, nilishindwa, ikabidi nijibane niende hotel ya karibu na hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila bibi jamani
 
Tatizo choo Cha Bure wangeanza kuwalipisha wanafunzi wangekuwa wengine wanajisaidia mara moja tu Kila baada ya siku mbili choo kuwa Bure kwao wanaenda Kila mara chooni utafikiri Wana vipindi vya masomo chooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usafi ni jinsi ulivyolelewa, na Chuo ni wajibu wao pia wapambane na Usafi wa kila sehemu
Kuajiri watu hata 10 kwa ajili ya Vyoo tu ni muhimu
Na kila saa moja lazima kuwe na supervisor anaeangalia usafi na kusaini

Mbona sehemu zingine duniani wanapambana na usafi sana especially sehemu wanapokutana watu wengi?
Mifano mingi sana na ninaona watu na wenye makampuni au mashuleni au huduma za motorways wanavuofanya usafi

Hapo ni uzembe tu na hakuna wakaguzi
Kwa jinsi watu wanavyolalamika hapa ingekuwa nchi zingine Chuo kinafungwa na wanaelekezwa cha kufanya na faini juu
Kwa madikteta wengine wanafunzi wangeambiwa wakaweke mizigo kwa mkuu wa chuo
Ukute kuanzia mkubwa wa chuo ni mtu aliyekuli kwa kunya vichkani huko kwao.

Wanafunzi tena ndiyo usiseme, "wakishua" utakuta wamekodishiwa mjengo jirani hapo wanamaliza haja zao. Hao wanaokwenda kwenye hivyo vyoo ni walewale kama mkubwa wa chuo, wa kunya vichakani tu.
 
Ukute kuanzia mkubwa wa chuo ni mtu aliyekuli kwa kunya vichkani huko kwao.

Wanafunzi tena ndiyo usiseme, "wakishua" utakuta wamekodishiwa mjengo jirani hapo wanamaliza haja zao. Hao wanaokwenda kwenye hivyo vyoo ni walewale kama mkubwa wa chuo, wa kunya vichakani tu.
Hakika umemaliza kila kitu, hawana nidhamu kuanzia mkubwa mpaka mdogo
Hao ndio wanaoandika ukutani kwa kinyesi

Huyo mkuu wa chuo anajua fika yanayoendelea halafu wakipata kipindupindu watasema ni mlipuko tu

Hawana aibu kwa kweli na uchafu ni jadi
 
Back
Top Bottom