Watanzania hawana kabisa utamudi wa kuwa na vyoo visafi, kuanzia majumbani.
Vyoo ni shida Tanzania nzima, nilikwenda wizara fulani, baada ya muhusika kunigandisha nikaamuwa niende nikajisaidie nisepe, nilishindwa, ikabidi nijibane niende hotel ya karibu na hapo.