Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa.
Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.