Mulimila dole
JF-Expert Member
- Jul 15, 2016
- 226
- 267
H
Uyu alikuwa na hamu ya kuweka rekodi ya kujisaidia vyoo vya airport. Ukarabati mkubwa inakuwa ja soon Kwa jengo Zina la terminal 2.Bila shaka kutakuwa na watu wa TAA humu. Nadhani watakuwa wamesoma na kupeleka taarifa ofisini kwao. Ila siku nyingine ukibanwa, jisogeze kidogo Kama unakwenda Terminal 3 , au Nenda Kabisa Terminal 3 - kule bado kupya. Nenda kale matunda ya nchi kule. Hata Kama unasafiri na local lights….