Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho mbaya kiasi hichi hata kuandika vizuri huwezi?
Inawezekana maana siku hizi wanawake wengi mna hela kiukweliDada mimi ndege nimepanda sana kama vile daladala za kwenye mbagala siwez kumwonea roho mbaya mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha... Unataka watu w ccm waje wakuvunje taya. Sifia tu acha kukosoa.
Haa haa haa kweli utalii wa ndani duu[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Aibu sana apo wageni mnakua watalii kushuhudia MAGOGOZ kwny vyoo vilivyochakaa!
Inawezekana maana siku hizi wanawake wengi mna hela kiukweli
Siyo kweli. Sa mbona una chuki na mtu hata humjui?Koma Wewe mimi sio mwanamke
Una roho mbaya kiasi hichi hata kuandika vizuri huwezi?
Nyumba nyingi nikama store angalia mtu anapo hama kwenda sehemu nyingineHii nchi inatoa tenda na ajira jwa misingi ya kindugu sana mpaka kusimamiana inakuwa tatizo.
Airport ni nchi,mtu anaanza kutuelewa anapoingia tu uwanja wa ndege,ukienda kwa wenzetu unaingia chooni unatamani usitoke,usafi,Tv,baridi na kila kinachohitajika.
Hawa maboss wa hapo sijui kwao watakuwa wanaishije,huenda makwao ni kama dampo,nyumbani kwao kutakuwa na mandhari ya kikungutukunguru tu.
Ninashauri Wizara ya Afya impe tenda Kipanya kuchora vibonzo vya utumiaji bora wa vyoo na visambazwe kwenye public places kama vyuoni, mahospitalini, mahotelini, viwanja vya michezo na hata viwanja vya ndege.Vilevile elimu ya usafi isambazwe kwa jamii.
Kuna watu wengine aidha kwa makusudi au kutokujua hawajui utumiaji wa vyoo kwa ustarabu wakati maji yakutosha yapo!
mimi nadhani serikali ikabidhi selta binafsi vyoo vyake vyote, pale Busisi nako ukiingia kukojoa unatoka unanuka hatufu ya choo licha ya kwamba umelipiaHili la vyoo vichafu ni donda ndugu kwenye vyoo vingi vya public.
Ni aibu Sana kwa inchi yetu kushindwa kuhudumia vyoo vya public,
Kwa kweli ni uchafu mtupu.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ustarabu unaanzia kwetu......Ninashauri Wizara ya Afya impe tenda Kipanya kuchora vibonzo vya utumiaji bora wa vyoo na visambazwe kwenye public places kama vyuoni, mahospitalini, mahotelini, viwanja vya michezo na hata viwanja vya ndege.
Wengine sisi wa Kwamtogole hatujawahi kutumia vyoo vya ku flush.
Watumiaji wenyewe ovyoooomswaili hajawah ku consider usaf wa choo kama agenda muhim.
tamadun zet choon bado mtihan sana.umakuta mtu choon hana ustaarb kabisa zero
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app