Vile vya nje unaweza fikiria vyoo vya bar za tandaleNimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa. Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.
Hili la vyoo vichafu ni donda ndugu kwenye vyoo vingi vya public.Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa. Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.
Ulitaka kusema alipanda ngedere au?Ulitaka kutuambia na wewe ulipanda ngede
Una roho mbaya kiasi hichi hata kuandika vizuri huwezi?Ulitaka kutuambia na wewe ulipanda ngede
Mishahara duni kwa wasafishajiHili la vyoo vichafu ni donda ndugu kwenye vyoo vingi vya public.
Ni aibu Sana kwa inchi yetu kushindwa kuhudumia vyoo vya public,
Kwa kweli ni uchafu mtupu.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Bila shaka kutakuwa na watu wa TAA humu. Nadhani watakuwa wamesoma na kupeleka taarifa ofisini kwao. Ila siku nyingine ukibanwa, jisogeze kidogo Kama unakwenda Terminal 3 , au Nenda Kabisa Terminal 3 - kule bado kupya. Nenda kale matunda ya nchi kule. Hata Kama unasafiri na local lightsโฆ.Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa.
Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.
๐๐๐๐Una roho mbaya kiasi hichi hata kuandika vizuri huwezi?
Bila picha unawasingiziaNimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa.
Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.
Uwe unaenda terminal 3,vipo poaNimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.
Wakati nikisubiri kuingia kwa ajili ya safari nilibanwa na nikabidi niende msalani. Nilichokikuta pale kwenye vyoo vya nje terminal two sikuamini macho yangu.
Kwa kweli vyoo ni vichafu na havijafanyiwa ukarabati kwa muda mrefu. Ni vema uongozi wakati wote wakawa wanapitia mapungufu yaliyomo kwenye uwanja huu wa Kimataifa.
Uwanja wa JNIA ni lango la Kimataifa na tuepuke aibu hii.
Nawashauri fanyeni ukarabati haraka iwezekanavyo.
Nawasilisha.
Asante kwa kuliona hilo.Nimesafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa kupitia terminal two.