Bila shaka kutakuwa na watu wa TAA humu. Nadhani watakuwa wamesoma na kupeleka taarifa ofisini kwao. Ila siku nyingine ukibanwa, jisogeze kidogo Kama unakwenda Terminal 3 , au Nenda Kabisa Terminal 3 - kule bado kupya. Nenda kale matunda ya nchi kule. Hata Kama unasafiri na local lights….