Vyoo vya Wanafunzi Chuo cha Ardhi Morogoro ni hatari kwa afya za Wanachuo

Vyoo vya Wanafunzi Chuo cha Ardhi Morogoro ni hatari kwa afya za Wanachuo

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Chuo cha ARDHI Morogoro ni miongoni mwa Vyuo vikongwe vya Serikali ambavyo vinatoa wataalamu mbalimbali kwa ajili ya Sekta ya ARDHI

Ni Jambo la kusikitisha ambalo inawezekana sio la kiungwana kuhusu hali ya vyoo vinavyotumiwa na wanachuo.

Hakijulikani tatizo ni nini na nani anawajibika na kuweka hali ya kuridhisha vyoo vinavyotumiwa na wanachuo ili kulinda afya zao.

Tunaomba Mkuu wa Chuo afanye ukaguzi na kuangalia Hali ilivyo ili kunusuru afya za wanachuo
 
Ungeweka na picha ili tuone uhalisia
 
Great thinker? Who is your audience? To whom is the problem to be directed to? What role has you play as a stakeholder in seeking a solution to the same?
 
Nani mtumiaji wa hivyo vyoo, kwanini msianze kukamatana ninyi kwa ninyi kabla ya Mkuu wenu ambaye si mtumiaji wa vyoo hivyo
 
Vyoo chuo cha ardhi, suluhisho lijadiliwe jamiiForums!
 
Kwani Mbunge wenu Moro mjini anasemaje?
 
Daah nakumbuka udsm kule maina campus , aisee kuna vile vyoo vya halls (hostels) vilikua vya kukaa aisee vilikua vinaboa balaa, vilinifanya nipachukie na kuishi mabibo hostel muda wote mpaka namaliza chuo ,
Kama bado mpaka sasa hivi vipo afadhali vibadilishwe , c sawa kuweka vyoo vya kukaa kwenye mjumuiko Wa watu
 
Ninaowateua Wanashindwa Kufikiria Nje Ya Box
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kwani hamuwezi mkahamasishana mkafanya usafi wenyewe au kuchangishana mkakodisha watu wa kufanya usafi? Au ndo mnajiandaa kuvaa suti na mavi na mikojo yenu wenyewe unatupigia kelele huku JAMIIFORUM
 
Back
Top Bottom