Daah nakumbuka udsm kule maina campus , aisee kuna vile vyoo vya halls (hostels) vilikua vya kukaa aisee vilikua vinaboa balaa, vilinifanya nipachukie na kuishi mabibo hostel muda wote mpaka namaliza chuo ,
Kama bado mpaka sasa hivi vipo afadhali vibadilishwe , c sawa kuweka vyoo vya kukaa kwenye mjumuiko Wa watu