Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa.
Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani?
Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum wa kufanya usafi vyooni. Kwa upande wa wanawake sijui lakini mazingira hata ya nje pale hayafai. Ukiwa unakaribia eneo la choo unakaribishwa na harufu kali ya mkojo. Kwakweli hapana jamani.
Manispaa shughulikieni hii mapema. Msimu wa wasafiri kuwa wengi ndo unawadia abiria watakuwa wengi jaribuni kuweka mazingira mazuri kiafya kwa watumiaji.
Pia soma ~ Vyoo vya stendi kuu ya mabasi Singida Vyasafishwa