Angekuwa hafurahishwa wote waliotajwa na SATIVA wangekuwa wamekamatwa.
Mkuu kwanini mnafanya haya? Mnapata nini?
Haumini tatizo la Mtanzania mwenzako ni lako pia au hadi likupate?
Ni kwa sababu ya Dini? Lakini ubaya hauna dini, tulipaza sauti kipindi cha Magufuli na Makonda. Unahisi tulifanya hivyo kwa kuwa hawakuwa wa dini yetu?