Vyovyote wafanyavyo, hata kama nia ni kumchafua, bado yeye ndiye turufu zaidi ndani ya chama chake hata kwa wapinzani

Vyovyote wafanyavyo, hata kama nia ni kumchafua, bado yeye ndiye turufu zaidi ndani ya chama chake hata kwa wapinzani

Angekuwa hafurahishwa wote waliotajwa na SATIVA wangekuwa wamekamatwa.

Mkuu kwanini mnafanya haya? Mnapata nini?
Haumini tatizo la Mtanzania mwenzako ni lako pia au hadi likupate?

Ni kwa sababu ya Dini? Lakini ubaya hauna dini, tulipaza sauti kipindi cha Magufuli na Makonda. Unahisi tulifanya hivyo kwa kuwa hawakuwa wa dini yetu?
Hakuna anaefurahia utesaji,utekwaji wala umwagaji wa damu kwa watu wasio na hatia.

Rais amekuwa wa kwanza kulaani baada ya taarifa kumfikia na kuagiza vyombo vyake vifanyie kazi kisha vimpe taarifa,ukitaka Rais afanye nini??

Au ungekuwa wewe ndie Rais ungefanya nini??
 
Watanzania tuna unafki sana na hatuelewi kipaumbele chetu kama Taifa
 
Back
Top Bottom