Wangewapeleka chipukizi chato huko. Watu wa moro walivyo mmmh [emoji16][emoji16]Njaa ulitaka majina Yale Yale Kila mwaka? Wacha chipukizi nao wapate platform
Hiyo combination hiyoAiseee hiyo list duh,mkoa mwingine watapanda Gigy Mapesa na sister fei
Hapana bali ni ugumu wa kufika eneo la tukioHeee unataka kuniambia watawashusha madogo na mizomeo au makopo
Chipukizi? chege ni chipukizi? Fid q je? anthon na mr blue? bele 9?Njaa ulitaka majina Yale Yale Kila mwaka? Wacha chipukizi nao wapate platform
Ilifaaa iwe show pale Biafra ya kuhamasisha jamii dhidi ya ukeketaji!Hiyo combination hiyo