Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

CMG wakiandaa kitu ni lazima kitatoboa achana na kelele hizi za mitandaoni za wanaowabeza hapa ila kesho ndio wa kwanza kukata tiketi.
Kwenye burudani wanaanza wao alafu wanaofuatia hawafiki hata robo ya ubora wa CMG bado wanajaribu tu,redio nyingi zinaishi kutegemea ubunifu wa Clouds Fm kuanzia mpangilio wa vipindi,maudhui hadi uwasilishaji wa watangazaji narudia tena wakiamua kuandaa kitu basi jua wanachanga karata dume yaani wakiamua hata Mkuu wa nchi na baraza lake waibuke kwenye tamasha utashangaa tu mzee baba yupo pale viwanja vya Leaders.
 
Namsubil Prof J Aje Dom Aimbe.."Salaam Babu Na Bibi.." Ile Albam Yake " Machoz Jasho Na Damu" Albam Yangu Bora Ya Muda Wote!!!!
 
Yani mkoa kama Morogoro ndo wanapeleka hii list, angalau angekuepo stamina ingetia amsha amsha...

Kifo cha clouds nakiona, basi watu wenye roho mbaya kama mimi ni full raha tu mana hawa jamaa walijaa viburi
Ngoja tusikilizie mkuu watu wenye roho zetu mbaya tupo wengi
 
Clouds wana hali ngumu wakomae tu nadhani wasanii walio upande wao watawaheshimu sana tofauti na zamani walikuwa wanadharau na kukandamiza wasanii
 
Back
Top Bottom