Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Why simuoni selemani msindi ziz iz not fea
 
Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Ahahahaahaaaahhaahhaha Z Anton ahahahaaaaaha kweli hali tete
 
Toa respeck kwa vijana na wao wapate ridhi na wewe
kwani lingekuwa Tamasha la kupinga Ukeketaji wasingelipwa? Umesahau bifu la Ruge na SUGU, chanzo ni Mpunga wa Malaria!
 
kwani lingekuwa Tamasha la kupinga Ukeketaji wasingelipwa? Umesahau bifu la Ruge na SUGU, chanzo ni Mpunga wa Malaria!
Fiesta Ni platform kubwa wacha vijana wapate uzoefu
 
Belle9, fid q, Mr blue, Nandy, Janjaro, lulu diva, Amber lulu, chege, whozu uendi mbinguni, mbona Hawa wote wapo vzr au mnaokosoa mnaweza kutuwekea orodha zenu ambazo hazitawataja hao hapo
 
Back
Top Bottom