Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

Vyuma(wasanii) watakao zindua rasmi msimu mpya wa Fiesta Moro

stamina mbona yupo". (rostam watakuwepo).... ila honestly wamezingua" visanii visivyo na fan base vipo vingi mnooo ..mpaka Z.anto.... you know kuna harufu fulani inayonuka inayoonyesha kuwa kampuni haina hela" ndio maana wamebeba wasanii wengi wa kawaida ambao huwa wanamudu kuwafanyisha show kwa hela ya bia na sahani ya nyama choma" huku wakiwapatia ahadi ya promotion
Sema wananchi wengi wanaikubal fiesta regardless na wasaniii wanaotumbuiza
 
Sijawahi kuwa muumini wa hayo mambo,hivi huwa kuna raha gani huko?
 
Kiukweli hiyo 'Team' ni dhaifu mno, ila clouds nawaaminia kwa promo, pamoja na kikosi kuwa dhaifu still show itabamba tu na show itajaa
 
Mi huwa najiuliza huwa wanachagua msanii kulingana na impact yake mtaani/kwa mashabiki ama wanachukua washkaji zao/wasanii wanaowamudu? Mfano ukienda mtaani ukauliza wana Moro wanamuhitaji msanii gani ni wangapi wanaweza sema wanamuhitaji Jolie/Karen/Jay Melody/Lulu Diva/Amber Lulu/Z Anto? Ukiniambia kwanini wamemuweka Afande/Stamina/Belle Moro hapo nna cha kujibu, ila wengi wa hao wasanii sielewi kwanini wapo kwenye hiyo list
 
Afande japo ni zilipendwa ila akipanda jukwaani hawezi kosa shangwe (still ana impact), huwezi mfananisha na hizo takataka kina Amberlulu
Mkali wa rymes ambae soggy dog hamtaki anamuita kobe hawezi mzidi mbio falasi.-fid q
 
Hawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Solid ground family, T.I.D Mnyama, Bwana misosi
 
Atakuwepo pamoja na Soggy Doggy fiesta ya mwaka huu wanajaribu wapandisha wasanii wa zamani
Sio kwamba wasanii wazamani PAKEE yao ndogo ukilinganisha na hawa wa sasa? Kumlipa Bwana Misosi,Jaffarai,Soggy ni easy ukicompare kuwalipa hawa wenye hits kwa sasa wa DOTCOM.
 
Sio kwamba wasanii wazamani PAKEE yao ndogo ukilinganisha na hawa wa sasa? Kumlipa Bwana Misosi,Jaffarai,Soggy ni easy ukicompare kuwalipa hawa wenye hits kwa sasa wa DOTCOM.
Yah nakubariana nawe ila nahisi wanajaribu pia leta taste tofauti si unajua clouds na promo ndo mahala pake maana mdhamini ni yule yule tifo
 
Hicho kikundi kikija huku chunga kitaolewa chote kuanzia chege hadi adam mchomvu, wote tunaweka mwali
 
Mi huwa najiuliza huwa wanachagua msanii kulingana na impact yake mtaani/kwa mashabiki ama wanachukua washkaji zao/wasanii wanaowamudu? Mfano ukienda mtaani ukauliza wana Moro wanamuhitaji msanii gani ni wangapi wanaweza sema wanamuhitaji Jolie/Karen/Jay Melody/Lulu Diva/Amber Lulu/Z Anto? Ukiniambia kwanini wamemuweka Afande/Stamina/Belle Moro hapo nna cha kujibu, ila wengi wa hao wasanii sielewi kwanini wapo kwenye hiyo list
Vigezo Ni hits song walizotoa na pia kwa hao underground Kuna kafeva wanapewa ili wapate uzoefu, kumbuka hao madogo Ni wa THT
 
Mkali wa rymes ambae soggy dog hamtaki anamuita kobe hawezi mzidi mbio falasi.-fid q
Nilimsikia Leo Soggy anahojiwa kampiga madongo kama kawa, sijui hawa jamaa walikoseana nini?[emoji14]
 
Back
Top Bottom