Sema wananchi wengi wanaikubal fiesta regardless na wasaniii wanaotumbuizastamina mbona yupo". (rostam watakuwepo).... ila honestly wamezingua" visanii visivyo na fan base vipo vingi mnooo ..mpaka Z.anto.... you know kuna harufu fulani inayonuka inayoonyesha kuwa kampuni haina hela" ndio maana wamebeba wasanii wengi wa kawaida ambao huwa wanamudu kuwafanyisha show kwa hela ya bia na sahani ya nyama choma" huku wakiwapatia ahadi ya promotion
sureSema wananchi wengi wanaikubal fiesta regardless na wasaniii wanaotumbuiza
Simba wa morogoro "Zilipendwa...! "Mbona Afande Sele hayupo?
Afande japo ni zilipendwa ila akipanda jukwaani hawezi kosa shangwe (still ana impact), huwezi mfananisha na hizo takataka kina AmberluluSimba wa morogoro "Zilipendwa...! "
Mkali wa rymes ambae soggy dog hamtaki anamuita kobe hawezi mzidi mbio falasi.-fid qAfande japo ni zilipendwa ila akipanda jukwaani hawezi kosa shangwe (still ana impact), huwezi mfananisha na hizo takataka kina Amberlulu
Ahahahaahaaaahhaahhaha Z Anton ahahahaaaaaha kweli hali tete
Fiesta 2018..old model kibaoo[emoji15]
Iko dorro sana
Atakuwepo pamoja na Soggy Doggy fiesta ya mwaka huu wanajaribu wapandisha wasanii wa zamaniMbona Afande Sele hayupo?
Solid ground family, T.I.D Mnyama, Bwana misosiHawa ndo wasanii watakao zindua rasmi msimu was fiesta 2018 jumamosi hii uwanja was jamuhuri kea kiingilio Cha 7000
Belle9
Fid Q
Nandy
Jolie
Malkia Karen
Whozu
Mr blue
Jaymolody
Janjaro
Z anto
Luludiva
Amber Lulu
Chege
Bryan Simba
Na wengine wengi
Sio kwamba wasanii wazamani PAKEE yao ndogo ukilinganisha na hawa wa sasa? Kumlipa Bwana Misosi,Jaffarai,Soggy ni easy ukicompare kuwalipa hawa wenye hits kwa sasa wa DOTCOM.Atakuwepo pamoja na Soggy Doggy fiesta ya mwaka huu wanajaribu wapandisha wasanii wa zamani
Yah nakubariana nawe ila nahisi wanajaribu pia leta taste tofauti si unajua clouds na promo ndo mahala pake maana mdhamini ni yule yule tifoSio kwamba wasanii wazamani PAKEE yao ndogo ukilinganisha na hawa wa sasa? Kumlipa Bwana Misosi,Jaffarai,Soggy ni easy ukicompare kuwalipa hawa wenye hits kwa sasa wa DOTCOM.
Vigezo Ni hits song walizotoa na pia kwa hao underground Kuna kafeva wanapewa ili wapate uzoefu, kumbuka hao madogo Ni wa THTMi huwa najiuliza huwa wanachagua msanii kulingana na impact yake mtaani/kwa mashabiki ama wanachukua washkaji zao/wasanii wanaowamudu? Mfano ukienda mtaani ukauliza wana Moro wanamuhitaji msanii gani ni wangapi wanaweza sema wanamuhitaji Jolie/Karen/Jay Melody/Lulu Diva/Amber Lulu/Z Anto? Ukiniambia kwanini wamemuweka Afande/Stamina/Belle Moro hapo nna cha kujibu, ila wengi wa hao wasanii sielewi kwanini wapo kwenye hiyo list
Nilimsikia Leo Soggy anahojiwa kampiga madongo kama kawa, sijui hawa jamaa walikoseana nini?[emoji14]Mkali wa rymes ambae soggy dog hamtaki anamuita kobe hawezi mzidi mbio falasi.-fid q
TID huwa anawanyea sometimes, ila akiitwa kwenye show anaenda[emoji16][emoji16]Solid ground family, T.I.D Mnyama, Bwana misosi