Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Nimekuelewa ila Nataka chumba KIMOJA kisiwe nmaster bdVipo maeneo ya kisasa ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa ila Nataka chumba KIMOJA kisiwe nmaster bdVipo maeneo ya kisasa ndugu
Hicho chumba karibu na mipango umepata?Nahitaji chumba self contained na sebule, maeneo Karibu na Chuo cha Mipango... Bei isizidi 100K, pia Nyumba ya kupanga maeneo hayohayo bei isizidi 200K
Chumba kipo na bei kwa mwezi ni 80 elfu..kwa nyumba sijafanikiwa ..Hicho chumba karibu na mipango umepata?
Hicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipangoChumba kipo na bei kwa mwezi ni 80 elfu..kwa nyumba sijafanikiwa ..
60 self ni ngumu ndugu coz mipango wanafunzi wanafanya kodi ipande na kuna ujio wa wanajeshi maeneo ya miyuji vimefanya vyumba vipande bei sana..but tuombe Mungu kwa yeye inawezekanaHicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipango
Kipo mipango karibu na chuo nduguHicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipango
Sawa basi ukipata unifahamishe60 self ni ngumu ndugu coz mipango wanafunzi wanafanya kodi ipande na kuna ujio wa wanajeshi maeneo ya miyuji vimefanya vyumba vipande bei sana..but tuombe Mungu kwa yeye inawezekana
Kipo mkuu ila hakina tiles wala gypsum ipagala bei 60..ila makole kuna chumba na sebule ila sio master ni 80 kwa mwezi kipo ndani ya fence ..hii ni offer ya chapchapNimekuelewa ila Nataka chumba KIMOJA kisiwe nmaster bd
Ndugu makole ni chumba na sebule ila sio master na ipo ndani ya fence anataka 80Kisasa mbali mkuu, makole hivi, uhindini, chang'ombe, maeneo ya karibu mjini
Nimejaribu kupambana nimepata nyumba karibu na chuo cha mipango inataka 300 na nyumba ni mpya ipo darajani ina vyumba vinne kimoja master sebule na dinning na jiko ndani ya fence..hii hot dealHicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipango
Bado sijapataHicho chumba karibu na mipango umepata?
Natafuta nyumba ambayo tunaweza share watu wawili, isiwe nje ya mji sana preferably Image au Iringa road au uzunguni au. AsanteSallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili yako..mawasiliano zaidi 0714140579
Uzunguni ipo ya tshs laki nne ..pia kuna iringa road zipo kwa bei ya laki tatu na nusu..image sijapata nyumba..kisasa pia zipo za laki tatu na nusu mpaka nne ..swaswa laki tatu mpaka nne ..Natafuta nyumba ambayo tunaweza share watu wawili, isiwe nje ya mji sana preferably Image au Iringa road au uzunguni au. Asante
Uzunguni ipi? Na iringa road sehwmu gani? I mean point ambayo ipo karibu na hiyo nyumba inayoweza kunisaidia kutambua eneoUzunguni ipo ya tshs laki nne ..pia kuna iringa road zipo kwa bei ya laki tatu na nusu..image sijapata nyumba..kisasa pia zipo za laki tatu na nusu mpaka nne ..swaswa laki tatu mpaka nne ..
NB..nyumba zote wanapokea miezi sita kwenda juu...kama upo tayari hata kesho waweza kuziona ndugu
Kama unapafahamu kilimani basi ni kwa mbele kidogo au naweza sema ni maeneo hayo kwa uzunguni..na iringa road ni maeneo ya maghorofa mengiUzunguni ipi? Na iringa road sehwmu gani? I mean point ambayo ipo karibu na hiyo nyumba inayoweza kunisaidia kutambua eneo
Uzunguni ipi? Na iringa road sehwmu gani? I mean point ambayo ipo karibu na hiyo nyumba inayoweza kunisaidia kutambua eneo
Nitakupigia kesho mida ya saa nne tano. BarikiwaKama unapafahamu kilimani basi ni kwa mbele kidogo au naweza sema ni maeneo hayo kwa uzunguni..na iringa road ni maeneo ya maghorofa mengi
Dom bado sana.. Yan chumba kwa 30me nahitaji chumba kimoja ila kiwe karibu na soko la majengo bei isizidi elfu 30.
kiwe cha nje ama ndani vyovyote sawa tuu,iwe nyumba ya bkock au tope hakuna tabuu.
maji ni muhimu yawepo japo umeme si lazima saaanaaa
kiwe cha ndani au cha nje vyovyote,ila nyumba isiwe na masharti ya kupangiana muda wa kurudi.
Fanya mchakato mkuu
Chumba self contained na sebule 100k?Nahitaji chumba self contained na sebule, maeneo Karibu na Chuo cha Mipango... Bei isizidi 100K, pia Nyumba ya kupanga maeneo hayohayo bei isizidi 200K