House4Rent Vyumba na Nyumba za kupanga Dodoma mjini

Nahitaji chumba self contained na sebule, maeneo Karibu na Chuo cha Mipango... Bei isizidi 100K, pia Nyumba ya kupanga maeneo hayohayo bei isizidi 200K
Hicho chumba karibu na mipango umepata?
 
Hicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipango
60 self ni ngumu ndugu coz mipango wanafunzi wanafanya kodi ipande na kuna ujio wa wanajeshi maeneo ya miyuji vimefanya vyumba vipande bei sana..but tuombe Mungu kwa yeye inawezekana
 
Sawa basi ukipata unifahamishe
 
Hicho kipo sehemu gani? ntafutie cha 60 self karibu na mipango
Nimejaribu kupambana nimepata nyumba karibu na chuo cha mipango inataka 300 na nyumba ni mpya ipo darajani ina vyumba vinne kimoja master sebule na dinning na jiko ndani ya fence..hii hot deal
 
Sallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili yako..mawasiliano zaidi 0714140579
Natafuta nyumba ambayo tunaweza share watu wawili, isiwe nje ya mji sana preferably Image au Iringa road au uzunguni au. Asante
 
Uzunguni ipo ya tshs laki nne ..pia kuna iringa road zipo kwa bei ya laki tatu na nusu..image sijapata nyumba..kisasa pia zipo za laki tatu na nusu mpaka nne ..swaswa laki tatu mpaka nne ..
NB..nyumba zote wanapokea miezi sita kwenda juu...kama upo tayari hata kesho waweza kuziona ndugu
 
Uzunguni ipi? Na iringa road sehwmu gani? I mean point ambayo ipo karibu na hiyo nyumba inayoweza kunisaidia kutambua eneo
 
Kama unapafahamu kilimani basi ni kwa mbele kidogo au naweza sema ni maeneo hayo kwa uzunguni..na iringa road ni maeneo ya maghorofa mengi
Uzunguni ipi? Na iringa road sehwmu gani? I mean point ambayo ipo karibu na hiyo nyumba inayoweza kunisaidia kutambua eneo
 
me nahitaji chumba kimoja ila kiwe karibu na soko la majengo bei isizidi elfu 30.
kiwe cha nje ama ndani vyovyote sawa tuu,iwe nyumba ya bkock au tope hakuna tabuu.
maji ni muhimu yawepo japo umeme si lazima saaanaaa
kiwe cha ndani au cha nje vyovyote,ila nyumba isiwe na masharti ya kupangiana muda wa kurudi.
Fanya mchakato mkuu
Dom bado sana.. Yan chumba kwa 30
 
Nahitaji chumba self contained na sebule, maeneo Karibu na Chuo cha Mipango... Bei isizidi 100K, pia Nyumba ya kupanga maeneo hayohayo bei isizidi 200K
Chumba self contained na sebule 100k?
 
Back
Top Bottom