House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

Pumbavu Kama utegemei wateja kutoka humu nini kimekufanya ulete humu ? Hizo picha c ungemtumia bibi yako
Sehemu za Kutangaza zipo nyingi sio Jf tu, kuna Facebook, instagram, Kupatana, Zoomtanzani, Jiji, Blogs, n.k

Huko watu kama nyinyi huwa tunawablock maana tumepewa uwezo kufanya ivyo lakini jf block yao haina maana.
 
Sehemu za Kutangaza zipo nyingi sio Jf tu, kuna Facebook, instagram, Kupatana, Zoomtanzani, Jiji, Blogs, n.k

Huko watu kama nyinyi huwa tunawablock maana tumepewa uwezo kufanya ivyo lakini jf block yao haina maana.
Nenda uko Instagram na fb usiendelee kupost humu
 
Yaani Mkuu kuna picha umejaribu ku edit Ili kuficha uchafu na uchakavu. Very sad.

Hebu jamani jitahidini kuwapa watu huduma nzuri ilimpate kufurahia hela yenu. Tanzania ya sasa imebadilika watu wanataka value for their money. Waishi pazuri, wale pazuri na walale pazuri.

Afu ni Mbezi Beach. Loh.

Kiranga njoo uone

Mbezi Beach kuna mahali kweli ni Mbezi Beach na kuna nyingine ni jina tu imechukua...
 
Watu ss hivi wanaka bunju japo ni mbali lakini nyumba nzuli maji dawasco usafili uhakika yani nashanga nyumba nje ya mji nzuli njumba mbezi beach chafu
 
Ndio nimeshakupangia sasa
Masikini tukipata Kidogo huwa tunashida sana...
Watu wenye nyumba kama hii, hawanaga muda wa Kupoteza kwenye mitandao, kuandika ujinga
IMG3.jpg
 
Yaani nikiboreka huwa naingia jukwaa hili kuwasoma raia! 😂😂😂
 
Unaleta mbwembwe humu, wakati wewe unaishi tandale kwa tumbo, uswahili gari haifiki [emoji57]
Hahahaha mzee Ila kusema ukweli hivyo vyumba Ni low standard kulinga na eneo husika .

Mbezi beach tunaijua Ni prime area kwa middle income .

Vyumba wafanyie ukarabati mzee duuuh
 
Back
Top Bottom