House4Rent Vyumba vyenye furniture ndani vinapangishwa Ubungo Riverside. Vinafaa sana wanachuo wanaofanya Field Dar es Salaam ama wanaosoma vyuo mbalimbali

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.

Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu

Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki. wanafunzi wa Law school na wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya bodi za taaluma mbali mbali kama CPA, ni mazingira mazuri sana ya kusomea.

Kodi ya chumba ni laki 1 moja kwa mwezi. Kodi hii imejumlisha gharama zote kama umeme, maji, taka taka, sungu sungu etc

Vyumba hivi huwa vinatumiwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kipindi hiki wapo likizo ndefu.

Vyumba vipo ndani ya fensi na vina Umeme na Maji yapo available muda wote

Wenye wadogo zenu wanaosoma Dar ama Kufanya Field miezi hii na hawana pa Kuishi wanakaribishwa sana.

Vyumba hivi vinapangishwa Wanawake tu ama Wasichana tu, maana wanaume wengi wanageuza gest house na waharibifu sana wa vitu vilivyopo vyumbani.

Kwa wanaohitaji nicheki namba 0692 275 229

kupatana small.jpg
 
Ubaguzi wazi wazi, una ajenda nyingine nje ya biashara?

Ndio utaratibu. Sio kama vimeanza kupangishwa leo Maeneo ya karibu na vyuo mfumo huu upo sana. Na wanawake ndio wateja wanaofit na mfumo wa hostels.

Zunguka maeneo ya vyuo uone hostels za wanawake vs wanaume zipi zipo nyingiii

Wanaume wanafanya sana uzinzi na kugeuza hostels danguro ama gest house.

Na pia hawatunzi vitu ndio sababu tunawakataa.

Experience is a best teacher
 
Kwhy nikija maeneo hayo nitawapata watoto wa kike.
 
Watoto wa kike wapo kibao vyuoni. Ila swala la kuwapata siwezi kukupa jibu. Maana wao ndio wana maamuzi ya kupatikana ama kukosekana
 
Ndio utaratibu. Sio kama vimeanza kupangishwa leo Maeneo ya karibu na vyuo mfumo huu upo sana. Na wanawake ndio wateja wanaofit na mfumo wa hostels.

Zunguka maeneo ya vyuo uone hostels za wanawake vs wanaume zipi zipo nyingiii

Wanaume wanafanya sana uzinzi na kugeuza hostels danguro ama gest house.

Na pia hawatunzi vitu ndio sababu tunawakataa.

Experience is a best teacher
Nimejifunza kitu. Kitanisaidia sana.
 
Sababu yako kutowapangisha wanaume Haina mashiko[emoji3525]
 
Mm nakuja kuishi na mwanachuo wangu naruhusiwa?
Mimi ni mtu mzima mstaafu ila nimepata binti wa chuo nataka kuja kumpa kampani kwa miezi kadhaa.
 
Mm nakuja kuishi na mwanachuo wangu naruhusiwa?
Mm ni mtu mzima mstaafu ila nimepata binti wa chuo nataka kuja kumpa kampani kwa miezi kadhaa.

Mkataba wetu utakubana. Ushauri tu mpangishie chumba kisicho na vitu ndani huwa vina masharti mepesi. Then weka vitu na kuanza kuishi nae
 
habari wadau.

Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.

vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu

vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki. wanafunzi wa Law school , na wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya bodi za taaluma mbali mbali kama CPA , ni mazingira mazuri sana ya kusomea

Kodi ya chumba ni laki 1 moja kwa mwezi. kodi hii imejumlisha gharama zote kama umeme, maji, taka taka, sungu sungu etc

vyumba hivi huwa vinatumiwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kipindi hiki wapo likizo ndefu.

vyumba vipo ndani ya fensi na vina Umeme na Maji yapo available muda wote

wenye wadogo zenu wanaosoma Dar ama Kufanya Field miezi hii na hawana pa Kuishi wanakaribishwa sana.

vyumba hivi vinapangishwa Wanawake tu ama Wasichana tu, maana wanaume wengi wanageuza gest house na waharibifu sana wa vitu vilivyopo vyumbani.

kwa wanaohitaji nicheki namba 0692 275 229
Kwa hiyo naweza mkodia mchepuko wangu ama siruhusiwi kuja kumgegeda hapo?
 
Habari wadau.

Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.

Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu

Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki. wanafunzi wa Law school na wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya bodi za taaluma mbali mbali kama CPA, ni mazingira mazuri sana ya kusomea.

Kodi ya chumba ni laki 1 moja kwa mwezi. Kodi hii imejumlisha gharama zote kama umeme, maji, taka taka, sungu sungu etc

Vyumba hivi huwa vinatumiwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kipindi hiki wapo likizo ndefu.

Vyumba vipo ndani ya fensi na vina Umeme na Maji yapo available muda wote

Wenye wadogo zenu wanaosoma Dar ama Kufanya Field miezi hii na hawana pa Kuishi wanakaribishwa sana.

Vyumba hivi vinapangishwa Wanawake tu ama Wasichana tu, maana wanaume wengi wanageuza gest house na waharibifu sana wa vitu vilivyopo vyumbani.

Kwa wanaohitaji nicheki namba 0692 275 229

View attachment 2300068
Kwa hiyo wasichana hawawezi kihuza guest house? Halafu kwani guest house Zina shida gani? Mimi najua guest house ni nyumba za kulala wageni,Hilo Lina shida gani?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ndio utaratibu. Sio kama vimeanza kupangishwa leo Maeneo ya karibu na vyuo mfumo huu upo sana. Na wanawake ndio wateja wanaofit na mfumo wa hostels.

Zunguka maeneo ya vyuo uone hostels za wanawake vs wanaume zipi zipo nyingiii

Wanaume wanafanya sana uzinzi na kugeuza hostels danguro ama gest house.

Na pia hawatunzi vitu ndio sababu tunawakataa.

Experience is a best teacher
Huo uzinzi wanaume wanafanya na nani? It takes two to tango .

Back
Top Bottom