Habari wadau.
Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.
Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu
Vyumba hivi vinawafaa sana wanachuo wanaosoma vyuo mbali mbali ambao wanafanya field Dar kipindi hiki. wanafunzi wa Law school na wanafunzi wanaojiandaa na mitihani ya bodi za taaluma mbali mbali kama CPA, ni mazingira mazuri sana ya kusomea.
Kodi ya chumba ni laki 1 moja kwa mwezi. Kodi hii imejumlisha gharama zote kama umeme, maji, taka taka, sungu sungu etc
Vyumba hivi huwa vinatumiwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam ambapo kipindi hiki wapo likizo ndefu.
Vyumba vipo ndani ya fensi na vina Umeme na Maji yapo available muda wote
Wenye wadogo zenu wanaosoma Dar ama Kufanya Field miezi hii na hawana pa Kuishi wanakaribishwa sana.
Vyumba hivi vinapangishwa Wanawake tu ama Wasichana tu, maana wanaume wengi wanageuza gest house na waharibifu sana wa vitu vilivyopo vyumbani.
Kwa wanaohitaji nicheki namba 0692 275 229