Unajua gharama ya kujenga kiwanja?Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira kwa timu zitakazokuja AFCON watumie. Ila ndo vile mmekaa na midigrii yenu tu
Nadhani labda alimaanisha uwanja wa mazoezi..wana mpango pia wa hotelUnajua gharama ya kujenga kiwanja?
Kwamba ukiwa na eneo uingie kwenye project ambayo itakugharimu hela kubwa na itakaa kwa siku 10 tu? Badala ya kuwashauri waongeze hostel unawaza wajenga kiwanja cha AFCON...
..wenzetu wakiandaa Afcon huwa wanatarajia kubeba kombe.Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira kwa timu zitakazokuja AFCON watumie. Ila ndo vile mmekaa na midigrii yenu tu
Tena hili nalo neno. Licha ya eneo kubwa ,kuna mandhari mazuri sana.UDSM fanyieni kazi ushauri huu, na kama hamna fedha tafuteni wabia.Mna eneo kubwa katikati ya mji mngeweza kujenga hotel na kiwanja kikubwa cha mpira kwa timu zitakazokuja AFCON watumie. Ila ndo vile mmekaa na midigrii yenu tu
Hata kiwanja cha mazoezi chenye standard a fifa si jambo dogo mkuu....Nadhani labda alimaanisha uwanja wa mazoezi..wana mpango pia wa hotel
Ameongea point sana eneo hilo la chuo ni potential sio kwa afcon tu hata timu za ligi zetu zinaweza kukodi kiwanja kuchezea na chuo kikapata mapato.. udsm ni katikati ya jiji watu kutoka maeneo tofauti wanaweza kufika kwa urahisi usafiri upo mbona kmc wameweza na wanafanya vizuri tu kwenye viwanja..Unajua gharama ya kujenga kiwanja?
Kwamba ukiwa na eneo uingie kwenye project ambayo itakugharimu hela kubwa na itakaa kwa siku 10 tu? Badala ya kuwashauri waongeze hostel unawaza wajenga kiwanja cha AFCON...
Kha ticha ujinga wako....wenzetu wakiandaa Afcon huwa wanatarajia kubeba kombe.
..sisi tunajua kabisa tunakwenda kufungwa.
..Afcon ni kujitia hasara.
..badala ya viwanja vya mipira hizo fedha zingeelekezwa kwenye miradi ya kilimo, ufugaji, uvuvi, na ujenzi wa viwanda.
..Viwanja tulivyonavyo sasa hivi kwa mfano Benjamin Mkapa vimewasaidia nini wananchi?
.
Kha ticha ujinga wako..
Badala ya kushauri zijengwe mahabara,hospital, maktaba za kisasa kwa ajili ya jamii mnafikiria mpira timu ziende kucheza. Sio kila hela ni ya kutolea macho nyingine unaacha zikupite kutokana na nature ya business yako....Ameongea point sana eneo hilo la chuo ni potential sio kwa afcon tu hata timu za ligi zetu zinaweza kukodi kiwanja kuchezea na chuo kikapata mapato.. udsm ni katikati ya jiji watu kutoka maeneo tofauti wanaweza kufika kwa urahisi usafiri upo mbona kmc wameweza na wanafanya vizuri tu kwenye viwanja..
Hawa wasomi hata repair za barabara zao zimewashida kwa miaka barabara ya kwenda changanyinkeni inatia uhuruma..
Mahitaji hayakamiliki hayo yapo tu maana ata idadi ya wanafunzi inapanda kila mwaka..Badala ya kushauri zijengwe mahabara,hospital, maktaba za kisasa kwa ajili ya jamii mnafikiria mpira timu ziende kucheza. Sio kila hela ni ya kutolea macho nyingine unaacha zikupite kutokana na nature ya business yako....
Mahitaji ya muhimu kama hostel na maabara za kisasa hawajatimiza then wakimbilie viwanja.....