VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

mi nipo mzumbe,kweli kwa upande wa taarifa kwenye website tunaweza kushika nafasi hiyo kama wanavyodai,lakini hiyo ranking haijazalishwa kwa kuweka raiking accademically bali ni web ranking,ingekuwa accademically kairuki kingekuwa cha pili tanzania

dats trueeeeeee...........
 



.da afadhari umemaliza mkuu manake mtoa mada kaparamia mambo....
 

vp IFM haipo jamani
 


Kwa mzumbe hiyo namba 13 ni stahili kabisa hasa kwa masters mbaya kabisa. Waulize waliosoma pale.
 
Hiyo siyo rank on the basis of quality bali ni list tu kutokana na jinsi zilivyoorodheshwa no more. Kama ingepangwa kwa umakini basi UDOM ilitakiwa ishike namba ya mkiani kwani is the Only UNIversity inayotoa degree za Uchangudoa!!!
 
Kuna chuo kinaiti ETU hapa tanga naomba mniambie katika rank ni ngap wakuu?
 
 


Mkuu weka dondoo zilizotumika kujua Ubora wa chuo husika dhidi ya nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…