VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

mi nipo mzumbe,kweli kwa upande wa taarifa kwenye website tunaweza kushika nafasi hiyo kama wanavyodai,lakini hiyo ranking haijazalishwa kwa kuweka raiking accademically bali ni web ranking,ingekuwa accademically kairuki kingekuwa cha pili tanzania

dats trueeeeeee...........
 
hii rank ni kwa masuara ya upaikanaji wa taarifa kwenye website ya chuo na sio ubora accademically ndo maana hubert kiruki ipo chini....ingekuwa accademically kingekuwa cha pili kairuku sawa?kwa hiyo mtoa maada hajaelewa nini kinaongelewa kwenye iyo list.kwanza hiyo organization inaitwa web ranking siyo accademic ranking...

  • :yield:



.da afadhari umemaliza mkuu manake mtoa mada kaparamia mambo....
 
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo.1.University of Dar-es-salaam2.Sokoine University of Agriculture3.Muhimbili University of Health and Allied Science4.The Hubert Kairuki Memorial University5.St. Augustine University of Tanzania6.Tumaini University7.The Universty of Dodoma8.Ardhi University9.St. John University of Tanzania10.Teofilo Kisanji11.The State University of Zanzibar12.Mount Meru University13.Mzumbe University 14.Zanzibar University15.The University of Arusha 16.Muslim University of Morogoro17.International Medical and Technological University

vp IFM haipo jamani
 
Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?

The Hubert Kairuki ipo ndan ya vyuo mia bora kwa Africa sikumbuki niyangapi kipo chenyewe na UDSM..Kwahiyo kwa rank za Africa kwa Tanzania kitakuwa cha pili y hapo kipo cha nne?



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums


Kwa mzumbe hiyo namba 13 ni stahili kabisa hasa kwa masters mbaya kabisa. Waulize waliosoma pale.
 
Hiyo siyo rank on the basis of quality bali ni list tu kutokana na jinsi zilivyoorodheshwa no more. Kama ingepangwa kwa umakini basi UDOM ilitakiwa ishike namba ya mkiani kwani is the Only UNIversity inayotoa degree za Uchangudoa!!!
 
Kuna chuo kinaiti ETU hapa tanga naomba mniambie katika rank ni ngap wakuu?
 
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo.1.University of Dar-es-salaam2.Sokoine University of Agriculture3.Muhimbili University of Health and Allied Science4.The Hubert Kairuki Memorial University5.St. Augustine University of Tanzania6.Tumaini University7.The Universty of Dodoma8.Ardhi University9.St. John University of Tanzania10.Teofilo Kisanji11.The State University of Zanzibar12.Mount Meru University13.Mzumbe University 14.Zanzibar University15.The University of Arusha 16.Muslim University of Morogoro17.International Medical and Rubish!! Kuna vyuo hapo bora hata OUT ingekuwepo.

Chuo kikuu bora ni kichwa chako mwenyewe. Watoto amkeni, someni kwa bidii.
 
Katika pitapita yangu kwenye website hii www.41cu.org/tz/ nikakutana na orodha ya vyuo vikuu bora Tanzania, nimeona sio vibaya tukishirikishana kwenye jambo hilo
.1.University of Dar-es-salaam
2.Sokoine University of Agriculture
3.Muhimbili University of Health and Allied Science
4.The Hubert Kairuki Memorial University
5.St. Augustine University of Tanzania
6.Tumaini University7.The Universty of Dodoma
8.Ardhi University
9.St. John University of Tanzania
10.Teofilo Kisanji
11.The State University of Zanzibar
12.Mount Meru University
13.Mzumbe University
14.Zanzibar University
15.The University of Arusha
16.Muslim University of Morogoro
17.International Medical and Technological University


Mkuu weka dondoo zilizotumika kujua Ubora wa chuo husika dhidi ya nyingine!
 
Back
Top Bottom