Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?
The Hubert Kairuki ipo ndan ya vyuo mia bora kwa Africa sikumbuki niyangapi kipo chenyewe na UDSM..Kwahiyo kwa rank za Africa kwa Tanzania kitakuwa cha pili y hapo kipo cha nne?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hiyo siyo rank on the basis of quality bali ni list tu kutokana na jinsi zilivyoorodheshwa no more. Kama ingepangwa kwa umakini basi UDOM ilitakiwa ishike namba ya mkiani kwani is the Only UNIversity inayotoa degree za Uchangudoa!!!
ina maana kwa positions vilipowekwa havistahili ama?
Hee hadi teku ipo'
ha tangu lin agustine wakaipita mzumbe mtoa mada wajielewa wewe kweli au huo ndo mwisho wa mawazo yako?????????????????????????????????????????????????????????:hand:
Hizo masters degree za Dar campus zimekishushia sana hadhi hicho chuo. Siku hizi mtu akitaka kuipata masters degree bila shida anaji.enroll MU Dar campus!Sijasoma mzumbe ila wametumia kigezo gani iwe ya 13?
Ulaya ipi hiyo?Kama n kwa kigezo cha digrii za chupi sawa! Open university mizania yake ya juu sana halafu eti hakipo,,, kuna mijitu bado inaakili mgando inadhan elimu ya chuo kikuu mpaka ikakae bwenn na igombanie boom'''' dunia inawacha'''' kwa ulaya sasa hvi mfumo wa open ndo uko juu na wanafunzi wake wanamarket kuliko wanaosubir kulishwa kila kitu