Vyuo vikuu 7 bora kwenye masomo ya biashara na uchumi hapa tanzania.

Vyuo vikuu 7 bora kwenye masomo ya biashara na uchumi hapa tanzania.

Ujinga mwingine bhana

Hayo ni mawazo yako. Ndio maana nikasema kwa mujibu wa research yangu na uzoefu wangu. Unaweza wewe usiwe na research yeyote na inawezekana nikawa nimekuzidi uzoefu wa kazi katika idara makampuni na taasisi mbalimbali!.
 
Kwa hiyo umefanya kazi kwenye makampuni yote tanzania na duniani
 
Mtoa mada hizo takwim unazoandika hapa jf unauhakika nazo usikurupuke tu na kupotosha mambo sijui nani anakudanganya kias hicho
 
Acha ubishi dogo,watu wameshaona mengi,we bado upo uchochoroni unaungaunga ka-bachelor kako ka Muccobs...tulia uelekezwe!!!

Acha upumbavu wewef eti nauunaunga -------- wewe nenda chuoni ukalimwe masupp ndo utajua degree ni kitu gani
 
Mbona walimuchukua Mwigulu Mchemba?
Acha kupotosha BoT hawachukui vilazaa..! Otherwise baba yako awe afisa mwajiri serikalini
onyo citaki malumbano
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Perry mbona unakiponda sana MUCCOBS? Kwan ubaya wa hicho chuo uko wapi au ubora wa mwanafunzi unapimwa na chuo au mwanafunzi mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni mawazo yako. Ndio maana nikasema kwa mujibu wa research yangu na uzoefu wangu. Unaweza wewe usiwe na research yeyote na inawezekana nikawa nimekuzidi uzoefu wa kazi katika idara makampuni na taasisi mbalimbali!.

Mkuu hiyo research yako uliifanya kwa muda gani? Pia naomba unisaidie ku-attach na written document ya utafiti wako mkuu.
 
Yaani huyo ndio Mwigulu, unafahamu alipata grade gani kwenye course za Prof. Osoro?
first class ya udsm ilee..! Sema ameamua kuishi vile unavyomuona ww...!
 
MUCCOBS ndio chuo bora cha biashara!! Harvard of Africa..... Sio hzo institues, cjuw mleta uzi hajui maana ya vyuo na taasisi!!!! Haaaaa haaaa

Mimi nilitaka kujua CHUO CHA KWANZA TANZANIA NI KIPI? HUWEZI KUFANANISHA UDSM, MZUMBE, IFM NA VYUO Vingine vidogo ktk sekta ya biashara. Lazima tukubali hata mbuyu ulikuwa kama mchicha. Afisa mwajiri hana jipya, mwulize amesomea nn? Kwa hiyo hawezi kubadili chochote, kwani CRDB wanaajiri graduate? Au ndugu zao? Hawana jipya, mtu kasoma sheria, ict, marketing halafu ni bank teller....Msigombane mleta mada hajafanya utafiti wa kutosha
 
Mkuu hiyo research yako uliifanya kwa muda gani? Pia naomba unisaidie ku-attach na written document ya utafiti wako mkuu.
Mkuu sitoweza ku attach sababu ni research paper niliyowafanyia taasisi fulani hivyo haki zote wanazo wao. Kama unajua sheria za ku disclose report utanielewa. Ilifanyika kwa muda wa mwaka mmoja.
 
Mkuu sitoweza ku attach sababu ni research paper niliyowafanyia taasisi fulani hivyo haki zote wanazo wao. Kama unajua sheria za ku disclose report utanielewa. Ilifanyika kwa muda wa mwaka mmoja.

Ok mkuu nimekupata.
 
Back
Top Bottom