Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Kutokana na research yangu na uzoefu wangu nakubaliana na list ya mleta uzi.
Ujinga mwingine bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na research yangu na uzoefu wangu nakubaliana na list ya mleta uzi.
Ujinga mwingine bhana
1.udsm
2.mzumbe
3.ifm
4.Tia
5.IAA
6.Udom
7.Cbe
source:afisa mwajiri mkuu,bank ya CRDB.
hahahaa eti hadi TIA na IFM ziko juu y IAA hivi ninyi mnaijua IAA au mnaandika tu
Hayo ni mawazo yako. Ndio maana nikasema kwa mujibu wa research yangu na uzoefu wangu. Unaweza wewe usiwe na research yeyote na inawezekana nikawa nimekuzidi uzoefu wa kazi katika idara makampuni na taasisi mbalimbali!.
Kwa hiyo umefanya kazi kwenye makampuni yote tanzania na duniani
Kwa hiyo umefanya kazi kwenye makampuni yote tanzania na duniani
Acha ubishi dogo,watu wameshaona mengi,we bado upo uchochoroni unaungaunga ka-bachelor kako ka Muccobs...tulia uelekezwe!!!
Acha kupotosha BoT hawachukui vilazaa..! Otherwise baba yako awe afisa mwajiri serikalini
onyo citaki malumbano
Lete tafsiri ya kilaza mngese wewe
Mbona walimuchukua Mwigulu Mchemba?
Hayo ni mawazo yako. Ndio maana nikasema kwa mujibu wa research yangu na uzoefu wangu. Unaweza wewe usiwe na research yeyote na inawezekana nikawa nimekuzidi uzoefu wa kazi katika idara makampuni na taasisi mbalimbali!.
first class ya udsm ilee..! Sema ameamua kuishi vile unavyomuona ww...!
Msaada no 5 AIA jamani kiko wapi icho?
MUCCOBS ndio chuo bora cha biashara!! Harvard of Africa..... Sio hzo institues, cjuw mleta uzi hajui maana ya vyuo na taasisi!!!! Haaaaa haaaa
Mkuu sitoweza ku attach sababu ni research paper niliyowafanyia taasisi fulani hivyo haki zote wanazo wao. Kama unajua sheria za ku disclose report utanielewa. Ilifanyika kwa muda wa mwaka mmoja.Mkuu hiyo research yako uliifanya kwa muda gani? Pia naomba unisaidie ku-attach na written document ya utafiti wako mkuu.
Mkuu sitoweza ku attach sababu ni research paper niliyowafanyia taasisi fulani hivyo haki zote wanazo wao. Kama unajua sheria za ku disclose report utanielewa. Ilifanyika kwa muda wa mwaka mmoja.