ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni,
Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni.
Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa
Makahaba wa hadharani
Mapenzi ya jinsia Moja.
Kutumia mihadarati
Mavazi ya hovyo.
Wizi n.k
Hivi kijana au Binti katika form 6 kajiunga na chuo huko ndo ameenda kuharibika kabisa kuwa kahaba n.k
Nadhani vyuoni mna shida.
Utashangaa kijana wa Kitanzania ni shoga au msagaji na yupo au kaharibi huko chuo.
Kwani vyuoni Kuna ushetani Gani?
Sisi wazazi tunatamani hata vijana wetu wasipate hiyo elimu ya juu.
Uhuru usizidi Kwa vijana wadogo wanaharibika sana.
Kijana katumwa masomoni inakuwaje akeshe bar hadi kulawitiwa? Kwanini msimfukuze chuo ikawa funzo Kwa wengine.
Kwenye madanguro wamejaa hawa wasomi.
Binti anatembea na mtu umri wa baba yake na uongozi wa chuo hamchukui sheria.
Vijana wadogo wa vyuo wanalewa mno yani kama mzazi unaumia kijana kalewa chakari wakati ametoka family ya malezi Bora kabisa.
Serikali tumieni wataalamu mtafute njia nzuri ya kuendesha vyuo vikuu na vya kati ili tupate wasomi wenye tija Kwa jamii.
Uhuru wa vijana vyuoni umezidi, mmonyoko wa maadili ni mkubwa mno tunaona Bora hata wasiaome hivo vyuo