Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.
Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe
Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote
Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .
VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa
WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.
Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??