Vyuo vikuu vitano vya tanzania vya shika mkia mashindano ya 13 ya Afrika Mashariki: Wanafunzi wa Kitanzania tunaosomea chuo Kenya mumetuacha na aibu

Trunk

Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
63
Reaction score
114
Wanabodi heshima mbele.

Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.

Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.

Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe

Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote

Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .

VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa

WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.

Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??
 
Kwa Mama Ushindi ilikuwa ni lazima.

Mitano tena.
 
Sisi ni viazi, nakumbuka mashindano ya mwaka 2002 yalifanyika udsm nayo hali ilikuwa hivyohivyo
 
WWngekichagua n chuo Cha Teofilo Kisanji University (TEKU MBEYA)
Jamaa wankiwasha sna,,
Sasa nyie mnapeleka Wala chips maysi, chipsi kuku daaaaa
 
Nafikiri vyuo vikuu vyote vilialikwa kuja .Kwahiyo ilikuwa ni uwezo wa chuo KUTUMIA wanafunzi.
 
Kimsingi hakuna modality yenye tija ya kukuza au kuendeleza michezo na sanaa katika vyuo vyetu... Washiriki Wengi vyuoni ni mapenzi tu na mchezo Fulani.

Kimsingi Kuna gape mahali la kufanyiwa KAZI katika vyuo.
 
Wanabodi heshima mbele.

Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.

Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.

Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe

Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote

Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .

VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa

WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.

Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??
Pongezi nyingi Kwa mama
 
Kimsingi hakuna modality yenye tija ya kukuza au kuendeleza michezo na sanaa katika vyuo vyetu... Washiriki Wengi vyuoni ni mapenzi tu na mchezo Fulani.

Kimsingi Kuna gape mahali la kufanyiwa KAZI katika vyuo.
Ni kweli kabisa. Mfano UD pale ,Mabibo hostel inachukua watu wengi sana lakini uwanja wa mpira ni mmoja tu, pia sehemu za michezo mbali mbali hamna zaidi ya hiyo football uwanja mmoja na basketball uwanja mmoja.Yaani waliwaza tu kuwa hizo hostel ni kusoma na kulala tu.
 
Ni kwa vyuo vya serikali tu au imekaaje hii maana vyuo vyote kutoka Tanzania naona ni vya serikali tu sioni vyuo binafsi hapo.
 
Wanabodi heshima mbele.

Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.

Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda ,Kenya na Rwanda.

Tanzania tuliwakilishwa na vyuo vikuu VITANO
1.Chuo kikuu cha Ushirika Moshi
2.Chuo kikuu cwha Dar es salaam
3.Chuo kikuu cha Ardhi
4.Chuo kikuu cha Dodoma
5.Chuo kikuu cha Mzumbe

Michezo ilikuwa zaidi ya 15 na Tanzania tulikuwa na michezo ya
Volleyball, Basketball,Football na Handball.Yote ilikuwa kwa jinsia zote

Tangzania pamoja na kuwa sisi ndiyo tunaongoza kuwa na club za mpira wa miguu AFRIKA Mashariki (SIMBA NA YANGA) lakini tumekuwa wa mwisho .

VYUO vyote VYA Tanzania hakuna medali yoyote .Huku Uganda na Kenya zikiongoza ambapo
1.Ndejje University (Uganda)
2.USIU AFRICA
(KENYA)
3.Makerere University
4.Nairobi University
5.GULU UNIVERSITY (UG)
6.Uganda Christian University (UG)
7.JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (KEN)
8.MOUNT KENYA UNIVERSITY
9.BISHOP STUART UNIVERSITY (UG)
.
Wakitanzania tunaosomea Maseno University (KENYA) tulivalia Bendera ya Tanzania tukishangilia vyuo vyetu kutoka Tanzania lakini tumeambulia aibu kubwa

WITO:Kipindi kijacho msishiriki kama hamkujiandaa,mlionekana hamkujindaa kabisa kwa MASHINDANO na hasa chuo kikuu cha DAR ES SALAAM (UDSM) mfano mzuri ni pale alipofungwa magori manne kwa bila na Bugeme University ya Uganda.

Pili kati ya VYUO vyote chuo kikuu cha DAR ES salaam pekee kimekuja na gari la kukodi la kanisa la Moravian aibu gani ??
Sio kila siku ni mambo yanaweza kuwa mazuri,hayo mashindano hayajaanza mwaka huu,yapo miaka mingi na mara nyingi yalikuwa yanafanyikia UDOM Tanzania na timu za Tanzania zilikuwa mboba zinafanya vizuri tu zaidi.ya nchi nyingine?!
 
Back
Top Bottom