Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hasira ya nini shekhe?! ππUmebeba korodani za Bure kabisa, kichwani patupu
Wale wanaouliwa congo , Sudan na Nigeria pamoja na Ethiopia wana hatia?Mshenzi mkubwa weye wale watoto wanaouliwa bila hatia ni magaidi
Ni katika harakati za kupambana na ugaidi
hata Tanzania alipokamatwa Mbowe ilikuwa kuzia ugaidi. lkn sasa mbona hao Marekani wakipiga kelele? si waache nchi nyengine wafanye wanavyotaka kwa raia zao?Wana create sympathy ya magaidi wa kiislamu yasije jitoa muhanga kuua watu USA. Na USA wajanja, wanahakikisha hamas anapata kichapo cha mbwa koko huku wanajifanya kumuonea huruma hahaha
Wadhibitiwe kabisa maana wana support ugaidi wa hamas.
100% ana ushuga.Umebeba korodani za Bure kabisa, kichwani patupu
Leo Hadi mnamuona china ni afadhali hahahaha
Tende ukila hulewi , Itakuwa umeelewaHii inahusiana vipi na comment yangu. Au umelewa tende ustaadhati?
Leo mnamuona china wa maana wakati ndio kinara wa kutesa waislam kule Uighur china. Kawafungia maelfu ya wachina waislam kwenye makambi abawabadiri dini Kwa lazima.
Sheikh kapandwa na jaziba hahahaHasira ya nini shekhe?! ππ
Huwa wanashinda humu wanashangilia Israel anapelekewa moto!Mbona Israel halalamiki? Yy anapiga/anapigwa maisha yanaendelea