Vyuo vya kikatoliki


mbona chuo cha wasabato siku ya jumamosi maji yanakatwa ili msifue nyie ambao sio wasabato.
 
Nimesoma UDSM, tumefanya test weekend sana, kwasababu ya ukosefu wa vyumba
 
Ujinga mwingine bwana, aliyekwambia uombe chuo cha iman tofaut na yako nan? misomi mingine cjui ikoje?! hovyoo!
 

Mbona hujauliza Ijumaa? Wasabato nao si wana vyuo vyao, fanya Credit transfer uenda vya kisabato. Ufanye mapenzi kila siku, kufanya mitihani ndio ugome!!!
 
Siku nyingine utasema kwa nn kuna misalaba kwenye ofis za chuo, ukienda kwa mtu fuata sheria za nyumba yake!ebo!
 

St. Augustine mpaka Jumapili wanafanya mitihani....Halafu wacha unafiki wewe...
 
"when you go to Rome do like the Romans do."
 
Mbona hata UDOM chuo cha umma,lekcha/test siku za jmos na jpil ni kitu cha kawaida, we vp, jenga chuo chako.
 
HV wewe ndo wale masalia waliotaka kwenda nje ya nchi, bila nauli wala pasport, mkaweka kamb uwanja wa ndege wa JK?
 
Usijali mpendwa katika bwana kupiga pepa jmoo sio dhambi ni koso tubu tu, afu usiumie sana kwasababu wasabatho mnashika sana sharia za biblia ila zipu ktk suruali na pichu hamzishiki mnaachia mbaya ndo hiyo
 
Hii dini ya MUSOMA inakomaa na agano la kale tuu bila kujua Yesu alikwisha tafsiri sheria za kale purposively siku njingi
 
Hili lilishaletwa kitambo sana hapa jamvini. Hulazimishwi kusoma kwenye vyuo vya Kikatoliki. Ukiamua kusoma pale basi kubaliana na mashariti yao. Otherwise nenda ukasome kwenye vyuo vyenu manake "we live in a deversified world, full of choices"

Vyinginevyo tukubaliane na maneno ya wenye akili walosema "when in Rome, do as the Romans do"
 
Hivi ulifuata nini kwenye chuo cha Wakatoliki? Tulia usome ukishindwa nenda kahubiri usabato
 

Si utafute chuo utakacho fanya mtihani jumapili?
 
HV wewe ndo wale masalia waliotaka kwenda nje ya nchi, bila nauli wala pasport,mkaweka kamb uwanja wa ndege wa JK?

Usijali mpendwa katika bwana kupiga pepa jmoo sio dhambi ni koso tubu tu, afu usiumie sana kwasababu wasabatho mnashika sana sharia za biblia ila zipu ktk suruali na pichu hamzishiki mnaachia mbaya ndo hiyo

Daaah JF haiishiwi vituko noma kweli kweli

Hii dini ya MUSOMA inakomaa na agano la kale tuu bila kujua Yesu alikwisha tafsiri sheria za kale purposively siku njingi

mkuu una maana kusema dini ya Musoma??
 

No Logic kabisa. We ni msomi wa aina gani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…