Shekizongoro
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 388
- 153
Hii dini ya MUSOMA inakomaa na agano la kale tuu bila kujua Yesu alikwisha tafsiri sheria za kale purposively siku njingi
Mnalalama nini wakati SAUT kwenye joining instructions wamewaandikia "SAUT activities are run from monday to saturday 07:45 to 19:45 hrs" kwanini ulikubali kujoin si ungeomba transfer?
sio wasabato na waislamu problem kila mtu ana haki ya kuabudu wapewe nao mda wa kupractice their faith au ielewe kama wanachuo hawaruhusiwi kuabudu ambacho ni kitendo kinyume na katiba ya nchi basi vyuo kama st augustine university ,luaha catholic university college,tumain wafanye mtihani juma pili maana sisi ni wateja wao tunatoa fedha nyingi kama tuition fee na accomodation nyinginezo wakubali matakwa ya wateja wao sisi wanavyuo yaani wanafunzi
St. Augustine mpaka Jumapili wanafanya mitihani....Halafu wacha unafiki wewe...
achana na vilaza wa kisabato hawajielewi
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
Mungu akusamehe hujui ulisemalo... Next time usiite watu vilaza! Heshimu imani za watu sio kutusitusi tu
Wasabato na Waislam ni problem.
hujalazimishw kusoma na nani kakwambia humu kisutuJamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
nyny ni vil..aza tuuu.. kama vp anzisheni vyuo vyenu ambavyo hata jmos mnafunga mabomba ya maji ili watu wasifue. Mf university of Arusha
n'way majibu yako yananifanya nikutambue wewe ni mtu wa namna gani sihitaj ligi na mtu kama wewe! Usie na sitaha ya kutumia akili yako kistarabu mpaka utusi watu!
by the way u can't argue with best
Kwa nini?
true that... I can't and I won't argue with best in failure!