Vyuo vya kikatoliki

Vyuo vya kikatoliki

Sio wasabato na waislamu problem kila mtu ana haki ya kuabudu wapewe nao mda wa kupractice their faith au ielewe kama wanachuo hawaruhusiwi kuabudu ambacho ni kitendo kinyume na katiba ya nchi basi vyuo kama st augustine university ,luaha catholic university college, tumain wafanye mtihani juma pili maana sisi ni wateja wao tunatoa fedha nyingi kama tuition fee na accomodation nyinginezo wakubali matakwa ya wateja wao sisi wanavyuo yaani wanafunzi.
 
Mnalalama nini wakati SAUT kwenye joining instructions wamewaandikia "SAUT activities are run from monday to saturday 07:45 to 19:45 hrs" kwanini ulikubali kujoin si ungeomba transfer?
 
We jafari mwijae mbona hata SAUT kuna siku wanafanya mitihann jpili, ongea vitu kama intellectual sio bla bla!
 
Mnalalama nini wakati SAUT kwenye joining instructions wamewaandikia "SAUT activities are run from monday to saturday 07:45 to 19:45 hrs" kwanini ulikubali kujoin si ungeomba transfer?

achana na vilaza wa kisabato hawajielewi
 
sio wasabato na waislamu problem kila mtu ana haki ya kuabudu wapewe nao mda wa kupractice their faith au ielewe kama wanachuo hawaruhusiwi kuabudu ambacho ni kitendo kinyume na katiba ya nchi basi vyuo kama st augustine university ,luaha catholic university college,tumain wafanye mtihani juma pili maana sisi ni wateja wao tunatoa fedha nyingi kama tuition fee na accomodation nyinginezo wakubali matakwa ya wateja wao sisi wanavyuo yaani wanafunzi

hahaaaa ushaenda chuo cha kisabato arusha ww..!!???
poleeeee
 
Din/madheheb wanaopenda kulalamika ndo hao wasiopenda kujenga shule/vyuo vyao, ninyi WALALAMISHI jengen taasis za elim!
 
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,

Vyuo viko vingi kwa nini uende kwa hao illuminati?
 
Mungu akusamehe hujui ulisemalo... Next time usiite watu vilaza! Heshimu imani za watu sio kutusitusi tu

nyny ni vil..aza tuuu.. kama vp anzisheni vyuo vyenu ambavyo hata jmos mnafunga mabomba ya maji ili watu wasifue. Mf university of Arusha
 
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,
hujalazimishw kusoma na nani kakwambia humu kisutu
 
nyny ni vil..aza tuuu.. kama vp anzisheni vyuo vyenu ambavyo hata jmos mnafunga mabomba ya maji ili watu wasifue. Mf university of Arusha

n'way majibu yako yananifanya nikutambue wewe ni mtu wa namna gani sihitaj ligi na mtu kama wewe! Usie na sitaha ya kutumia akili yako kistarabu mpaka utusi watu!
 
Back
Top Bottom