Vyuo vya kikatoliki

Vyuo vya kikatoliki

Huyo anaejiita Jumong S yanayomsababishia umaskini ni mengi. Badilika la sivo siku nyingine wananchi wenye hasira kali watakuua, mjini wizi haufai fanya kazi.
 
Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo. Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.
Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.
Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Unakumbuka ulivotaka kuuawa na wananchi wenye hasira kali pale Mwenge sababu ya wizi wako. Leo unamshauri mwenzio aache chuo ili mfanane.
 
Jamani nauliza hivi kwanini vyuo vya kikatoliki vinalazimisha watu kufanya mitihani siku ya jumamosi?,ila jumapili hawawezi?na wakikujua wewe ni wa jumamosi ndio wanakuambia ukubali kwa kuweka sahihi yako kuwa utakuwa unafanya mitihani siku hiyo na ukikataa unadisco chuo?,

Ulilazimishwa kusoma hapo?

Nenda Arusha University, wanalazimisha kufanya Jumapili na siyo jumamosi!

Acha uvivu, kuwa flexible!
 
Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo. Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.
Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.
Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Acha kukashifu imani za watu mkuu. "Avalishwe vipedo na kibakuli ndio nini"? Tutumie lugha rafik katika majadiliano itapendeza zaid
 
Ninyi si ndio mna imani ya kutokunywa chai ya rangi, koka na mnatakwe kwenda ulaya kuhubiri kwa mguu bila nauli ya ndege?
 
Hahahahahaha hata passport hawana sijui wataingiaje kwenye nchi husika!!!
 
Hata nyie SDAs mmeanza tabia ya kulalamika lalamika kijinga kama wale jamaa?
Jitizame upya bwanamdogo!!!
 
Pole sana ndg yng. Hao wakatoliki nao taratibu zao ndizo zinawataka wafanye hayo. Fuata ushauri wa hao ndg hapo juu au nakushauri nenda kwa DVC mwambie sheria hiyo huitaki na akuandikie barua ya kuacha chuo kabisa then uapply chuo cha imani yako au uende pale MUM Morogoro uvalishwe vipedo, dela na kibakuli.
Kama hiyo huwezi jinyamazie na piga msuli kimya kimya huku ukitubu kwa kufanya mitihani Jumamos!
Naomba pia vyuo hivyo waweke na sheria ya kula kitimoto, kumbikumbi, chai na kambale ili ulalamike vizuri.
Washauri na wenzio wawe wanasoma Joining instructions na sheria nyingine kabla ya kujiunga na chuo chochote.
Ubarikiwe!
Waambie na wenzio

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Haaaaahahaaaaaaa..mbavu zangu japo ni ukweli tupu
 
Taasisi nyingi ukiondoa zile za umma zinafanya kazi hadi Jumamosi Cha kukushauli wewe vumilia tu umalizie masomo yako mda mwingine utakuwa makini kujua mashariti ya taasisi unayotaka kujiunga nayo kabla kufanya hivyo
 
Vyuo viko vingi bana, unalia njaa wakati mama ntilie wapo kibaooo...
 
bahati yako nimefunga, ningekupa tusi moja la tani 50 ili uwe na ustaarabu siku nyingine, unaizungumzia MUM hivyo lengo lako nn?

Kwaiyo kwenye mfungo tu matusi hutoi afu baada ya mfungo matusi unajaza mdomoni duh hii kali sasa si bora uache tu kufunga mana kwa miezi 12 mi mwezi mmoja tu unakuwa unashika dini afu mingine matusi kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom