Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

huu utetezi wako ni wa kike unangozwa na mihemko zaidi

Upeo wako ndo umeishia hapo, Na Nina uhakika huwezi tetea kauli yako endapo nikikuuliza Ni kwanini umesema hivyo. Zaidi sijaelewa unamaanisha nini unaposema utetezi wangu Ni wa kike, kwamba unaeleweka, au wanawake hawawezi toa utetezi?

Zaidi rejea ID yako Na profile picture uliyoweka.
 
Fuata ukweli unakokupeleka, muanzisha mada anataka kujua sababu za kutofundishwa sheria vyuo vya kisabato.
Kama wajua tujuze na sisi plz
 
Maandiko yanasema ikumbuke siku ya sabato uitakase, siku Sita fanya kz zako Lkn siku ya Saba ni Sabato ya Bwana Mungu wako, siku hiyo usifanye kz yoyote, wewe wala Mja wako, wala Mgeni alie ktk malango yako, wala mnyama wako wa kufuga, etc...!

Hapa wasabato ndio wanasimamia..... Haya ni maagizo ya Mungu kwa wanadamu...! Sasa km wengine hawafati wanakwenda kinyume na Mungu..!
 
Umeelewa alichokiandika huyo jamaa..

Ameandika Busara tupu lakini wewe unajifanya hujaona busara hiyo..
 
wasabato hawawezi kuwa na idea ya kuwa na chuo kiuu,wao wanajua tu biblia na kubishana kuhusu hiyo biblia

Unaitaji maombi ili kufikili nje ya box ina maana wanabishana tu au wanaelimisha na umesema hawana idea ya kuanzisha vyuo vikuu inamaana hamna wasabato waliosoma vyuo vikuu mbaka wakose idea ya kuanzisha vyuo au wote wanaelimu ya biblia tu hawana elimu ya darasani?
 
Umeelewa alichokiandika huyo jamaa..

Ameandika Busara tupu lakini wewe unajifanya hujaona busara hiyo..

Nilichokijibu ndicho nilichoelewa we sema km Hayo sio majibu sahihi...!

Alafu kuna busara Zaidi kuliko neno la Mungu? Au wewe ndio unajifanya huoni?
 
Hiyo alizungumzia chuo cha Arusha pekee, vyuo vya Kisabato huko duniani vinatoa degree ya sheria.Ni mawazo mgando ndio huwaza kuwa kazi ya mwanasheria ni kutetea uhalifu pekee, sheria ni pana na ina vipengele kibao.Kama unaishi kwenye nchi iliyojaa wizi na ufisadi kazi ya mwanasheria ndio huwa reduced kwenye kutetea wahalifu..

SDA majors and programs | Adventist Colleges and Universities
 
Last edited by a moderator:
Vyuo vya kisabato vinatoa degree ya sheria, huyo alizungumzia chuo cha Arusha pekee;

SDA majors and programs | Adventist Colleges and Universities
 
Last edited by a moderator:
Vyuo vya kisabato wanatoa degree ya Sheria, hicho cha Arusha ndio hamna lakini vuovingine vya kisababto
wanafundisha law and legal studies
SDA majors and programs | Adventist Colleges and Universities

Mkuu Eiyer, hili sijawahi kulisikia. Ngoja nitauliza kwa Mch!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Watu wengi huwa wanakubali chochote tu hata kama hajui....ila kwa mwenye busara angekujibu 'sijui' ili apate muda wa kutaka kujua. Ukweli ni kuwa vyuo vya Kisabato vinafundisha masomo ya sheria tena hata kwenye level za Doctorate...

Kuna msemo....''information is power''
Kuna mwenzako alikubali hapo juu,sijui hao ni wasabato au vipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…