Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Haingii akilini kukuta miG.P.A mikubwa wakati wanafunzi wanaochukuliwa ni wenye ufaulu mbovu!! Laiti wangekuwa wanachukua CREAM kama SPECIAL SCHOOLS (1.7-1.14) mimi nisingeleta hii THREAD ! na pia haingii akilini eti unakuta G.P.A ndogo ni 3.5
 
Mkuu, hivi kweli unafikiri kufeli na kufaulu mtu alizaliwa nako? Kwamba failures wataendelea kufeli au kupass kwa mark ndogo na cream watapass na kupata GPA kubwa throughout their academic journey regardless of other factors like ufanisi wa ufundishaji?
 
Mdogo wangu unajiaibisha kama upo chuo na kama upo 4m 6 jipange tena endelea kupiga msuli hivyo hivyo TCU hawapangi mtu kutokana na matokeo ya 4m 6 bwana mdogo afu tambua CAS co kama mfumo wa darasa la 7 kwenda form 1 au form 4 kwenda form 5 hyo system haipo hivyo afu kwa ufupi GPA yako ni uwezo wako ukiwa na GPA mlima utatukuta kwenye interview na ukiwa na GPA yako kisoda pia utatukuta kwenye interview.
NB.
UTUMISHI hawaangalii chuo mpigamsuli
 
Last edited by a moderator:

Kwanini shule za secondary za private zinaongoza TZ? Wewe ni mbulula, unakariri tu na hutaki kujibidisha kuelewa. Kama ingetokea vyuoni nako kungekuwa na NECTA kama ilivyo secondary nakuhakikishia hivyo vyuo unavyosema vinapewa GPA kubwa, ndivyo vingekuwa vinaongoza kitaifa. Duniani kote kwa sehemu kubwa vyuo bora duniani ni vya private. Mmekalia majungu tu someni na nyie mpate GPA kubwa, mna shindwa nini? Si mlipata div one nyie? P.u.mba.fu.
 
Kuna mijitu kama hili la mpigamsuli inaamini ukifeli darasa la saba form four hutafaulu, ukifeli form four basi form 6 nako hutafauli. Halikadhalika mijitu hiyo inaamini ukipata 3 form 6 basi chuo we ni mtu wa pass tu. Hiyo ni low intellectual ability. Ndo maana kauli mbiu yake ni kupigamsuli na siyo kuelewa. Intelligent person ni yule anahudhuria lecture na kuelewa then una research ulichofundishwa kujirithisha kama kina ukweli ama la, fanya discussions kutanua uwezo wako wa kufikiri, siyo kujifungia ndani kupiga msuli utaishia kukariri na matokeo yake ni kuanzisha mada za hovyo kama hii.
Ni ujinga kuamini vyuo vya serikali pekee ndo bora kuliko private, ziko wapi special schools now days? Special schools my foot!?
 
aise mimi sisomi llb ila nimegusa law kidogo ,law ni mtiti inahitaji kuwa na uelewa mkubwa na kupata gpa 4.7 wanafuzi wengi law sikubaliani na hilo.llb sijawah sikia gpa ya 4.7 labda unachoniambia leo ndio najua.
 
tcu iapanga mtu kutokana na point alizopata mtu na requirement za chuo ndugu ,so form six ndio admision ticket kwenda chuo.nacte kwa diploma leavers.pia kua makampuni wanaangalia uwezo wa mtu pamoja na gpa,kama unataka kuamini agalia requirement za pwc,e&y,bot,dilloite,na makampuni makubwa.lakini pia inategemeana na position kwenye kampuni otherwise we mbona unahangaika kupata gpa kubwa?
 
Mtoa uzi huu hana ufahamu wa kutosha kuhusu elimu ya Tz. Kwa taarifa yako watu wenye division III waliotoka shule za kata wana akili nyingi mno kuliko wale waliopata division I kutoka shule za academics na 'International'. Kumbuka waliopata division III toka shule za kata ni wale waliosoma wenyewe bila walimu, maabara, dawati, vitabu, umeme, usafiri, bweni, chakula, n.k. hivyo waliweza kutumia akili na vipaji vyao wao wenyewe hadi wakapata hiyo division III. sasa wanapofika Chuo Kikuu kwenye mazingira bora ya kusoma na kujifunzia yenye walimu, maabara, vitabu, umeme, bumu la bodi ya mikopo, n.k huwa wanakuwa bora sana kuliko wale kuku wa kizungu waliotoka shule za International (spoon fed students) ambao wengi wao huchaguliwa vyuo vya government visivyokuwa na walimu wenye morali, vitendea-kazi na udahili wa wanafunzi wengi wasiolingana na vitendea kazi vilivyoko (walimu, maabara, mabweni, nk.). Asilimia 80 ya wakufunzi wa vyuo vya umma wanaacha kufundisha vyuo vyao na kwenda kufundisha vyuo vya private kupata chochote kitu mifukoni. Hivyo wale wanafuzi waliotoka shule za kilalahoi huwa wanakutana na walimu na mazingira bora vyuo vya private na wale waliotoka shule za vigogo wanakwenda kukutana na shule za government zisizokuwa na walimu na mazingira duni ya kusoma na kujifunza inakuwa sasa ngoma draw nkondo igwa. Utashangaa wanafunzi waliojiunga chuoni na dision III za shule za kata unasoma bila kupata supplementary kuliko wale waliojiunga na division I ya kupewa kule international secondary school ingawa wanajua Kiingereza kizuri kuliko wale wa Kata.

Usilaumu fanya utafiti
 

Hahah umenichekesha sanaa ! ngoja nikwambie kitu usifananishe PRIVATE UNIVERSITY NA PRIVATE SCHOOLS,! Utaratibu wa kuchukua wanafunzi SHULE ZA PRIVATE ni bora sana mfano,INTERVIEW za shule kama feza,marian sio mchezo wanachuja kweli wanaobaki ni CREAM!! wakati vyuo vya PRIVATE wanafunzi wenye matokeo mabaya form6 ndio wanachagua kwa sanaa huko mtu yoyote aliyepata one au two hawezi akaanza na vyuo vya private na kama wapo ni wachache sana wengi wapo vyuo kama> SEKOMU,TEKU,TUMAINI ,SAV n.k! na laiti kungekuwa na mtihani wa pamoja...
 
special schools zimekumbwa na competition kutoka kwa private schools,lakini kwa upande wa vyuo govt schools zina competitive advantage kubwa. Vyuo vya private havijajega competitive advantage kubwa ndio maana watu wengi hawaendi kwa moyo wote.kama unabisha ntakupa ukweli zaidi
 
aise mimi sisomi llb ila nimegusa law kidogo ,law ni mtiti inahitaji kuwa na uelewa mkubwa na kupata gpa 4.7 wanafuzi wengi law sikubaliani na hilo.llb sijawah sikia gpa ya 4.7 labda unachoniambia leo ndio najua.

Ndio uamini sasa vyuo vya private vinagawa G.P.A kama njugu
 

Mpe mkuu huo ushahidi
 
kunachuo cha private kinaongoza tanzania kutokana na vigezo tofauti tofauti?.ukizungumzia nchi za kibepari ambazo zimebobea kwenye privatization na private sector revolution sawa.
Ndiyo maana harvard wanauza share kwenye general public ,so baadae labda ndio vyuo vya private vitakuwa juu na kimbilio la wengi
 
Kama kungekuwa na mtihani wa mwisho wa necta kama diploma ya ualimu, naamini vyuo vikuu vya private visingekuwa na wahitimu wenye GPA kubwa namna hiyo. Wanatumia advantage ya closed system kumwaga GPA kama njugu kwa wateja wao. Serikali iliangalie hili kwa jicho la mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…