Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Vyuo vya private na migpa mikubwa kwa nini?

Hapa ndo tunaona nani mkorofi! siwezi kukubaliana na mawazo yako hata kidogo kwa sababu nilichoandika kwenye thread yangu kipo wazi kabisa nani hajui vyuo vya PRIVATE wanagraduate na G.P.A Kubwa? Nani anayebisha kwamba vyuo vya PRIVATE vinachukua division three nyingi na mbovu? Nilichoandika ni ukweli na nitaupigania kwa nguvu zote halaaa

Nimegundua najadiliana na mtoto asiyejua lolote zaidi ya matusi na kurudia rudia yale yale yasiyo na mashiko. Sijawahi kusikia mtu anapigania hoja kwa mtindo wako. Kila la heri katika kupigania "hoja" finyu ya GPA.
 
,Mshinga mimi nimesomea TABORA SPECIAL SCHOOL(TABORABOYS)! ngoja nikuulize swali umesomea shule gani O-LEVEL,A-LEVEL ,Umesoma chuo gani na mwaka gani? nikukamate vizuri uabike humu jamvini!

Utoto mtupu. Umesikia mtu anajitaja taja aliko na alikosoma? Hujishangai wewe mtoto? Ni udhaifu sana kuleta mambo yako binafsi kwa watu wasiokujua na ambayo hayana uhusiano na kinachojadiliwa (another evidence that you are academically ignorant).
 
Umevamia mazungumzo wala hujayaelewa! fuatilia chanzo ni kipi mpaka nikasema shule nlizosomea ,
 
Nimegundua najadiliana na mtoto asiyejua lolote zaidi ya matusi na kurudia rudia yale yale yasiyo na mashiko. Sijawahi kusikia mtu anapigania hoja kwa mtindo wako. Kila la heri katika kupigania "hoja" finyu ya GPA.

Hoja ya G.P.A ni nzito sana na hoja ya kuchukua division three mbovu ni ya msingi
 
shule za private ndo zinazoongoza...unakutata ni div 1 tupu kwanini?
 
In short kufaulu kwao kunaendana na elimu wanayopata mfano private nying wanafunz wachache kwa hvyo ata kufuatilia haina shda ni rahc mwanafunz kumuambia mw arudie na akarudia huku kwa kina kayumba kumelaaniwa tangu vidudu huwez kufanananisha st marian na pugu au zanaki
 
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara

Shule za Private na mi division one mingi kwa nini? Wakati zinachukua wanafunzi waliofeli shule za serikali.Tafakari!
 
Hapa ndo tunaona nani mkorofi! siwezi kukubaliana na mawazo yako hata kidogo kwa sababu nilichoandika kwenye thread yangu kipo wazi kabisa nani hajui vyuo vya PRIVATE wanagraduate na G.P.A Kubwa? Nani anayebisha kwamba vyuo vya PRIVATE vinachukua division three nyingi na mbovu? Nilichoandika ni ukweli na nitaupigania kwa nguvu zote halaaa

Halafu utakusaidia nini kwenye maisha yako?
 
Mimi undergraduate nimesoma government na postgraduate nimesoma private, ninauzoefu wa izi sehem mbili, jaman vyuo vya serikali vipo juu huwezi kufananisha na private, private kunakubebwa sana.
 
Hivi ni lini ninyi wanafunzi mtaanza kujitambua!!??
Unachotaka ni GPA kubwa au elimu!!!!? Kama shida yako ni GPA kubwa ni kwa nn hukwenda katika hivyo vyuo (au ndiyo ukizidiwa GPA unazidiwa na elimu?)
Wewe utakuwa mmoja wa wanafunzi wanaosoma kwa kuwa wamepata nafasi ya kusoma hiki chuo kile bila kutambua kuwa "kwa nini usome"!!! Wakati mwingine sio lazima "Kusoma" chuo kama hauna mipango.
 
wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya private kama saut,ruco(ruaha university college),mwenge university,jordan university,arusha university,st.joseph universrty,tumaini dar,tumaini iring,tumaini makumira,st.john,teku,sekomu,eukenford,nikagundua kwamba wanagraduate na g.p.a kubwa sana yaani unakuta g.p.a za 4 zimejaa hadi unashangaa ! Na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya private wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya private wanapewa g.p.a kubwa sana je ni sababu za kibiashara
hakuna ukweli wowote...mbona vyuo vya serikal watu huwa wanaenda na division one lakn wanaondoka na gpa chafu? Utafiti uliofanya ni wa muda gani?wap evidence?
 
hakuna ukweli wowote...mbona vyuo vya serikal watu huwa wanaenda na division one lakn wanaondoka na gpa chafu? Utafiti uliofanya ni wa muda gani?wap evidence?

walimu vyuo vya private wanapodoa matokeo ya wateja wao(wanafunz) il kuvutia wateja wengne kwa wingi.OVERRR!
 
walimu vyuo vya private wanapodoa matokeo ya wateja wao(wanafunz) il kuvutia wateja wengne kwa wingi.OVERRR!

Si kweli,huwa kuna jopo la moderation linapitia mitihani kama inakidhi na matokeo kabla hayajatolewa.Hapa hakuna suala la kupodoa.Halafu vyuo vikuu si kama primary schools ama secondary zinagombea wateja.
 
Just to share experience. In an interview in one of the Universities (public) someone from TUMAINI came with a GPA of 4.8 in B. Ed. Mathematics! Unfortunately, he couldn't deliver to the expectation and he was not recommended for employment. Important: if we are to award our students GPA on grounds of promoting the reputation of our institutions, then we have to make sure that what they have is substantial. Paper based performance is nothing if the actual performance is almost zero.
Wakatabahu
 
walimu vyuo vya private wanapodoa matokeo ya wateja wao(wanafunz) il kuvutia wateja wengne kwa wingi.OVERRR!
Alafu na necta inapodoa matokeo ya shule za private ndo maana zinaongoza ili kuwavutia wanafunzi,kwakuwa necta inamiliki mradi wa shule za private....si ndo ivyo?
 
Alafu na necta inapodoa matokeo ya shule za private ndo maana zinaongoza ili kuwavutia wanafunzi,kwakuwa necta inamiliki mradi wa shule za private....si ndo ivyo?

ni kweli bt sio shule zote bali ni chache sana hasa zinazochaji ada kubwa sana!
 
Back
Top Bottom