Hapa ndo tunaona nani mkorofi! siwezi kukubaliana na mawazo yako hata kidogo kwa sababu nilichoandika kwenye thread yangu kipo wazi kabisa nani hajui vyuo vya PRIVATE wanagraduate na G.P.A Kubwa? Nani anayebisha kwamba vyuo vya PRIVATE vinachukua division three nyingi na mbovu? Nilichoandika ni ukweli na nitaupigania kwa nguvu zote halaaa
,Mshinga mimi nimesomea TABORA SPECIAL SCHOOL(TABORABOYS)! ngoja nikuulize swali umesomea shule gani O-LEVEL,A-LEVEL ,Umesoma chuo gani na mwaka gani? nikukamate vizuri uabike humu jamvini!
Utoto mtupu. Umesikia mtu anajitaja taja aliko na alikosoma? Hujishangai wewe mtoto? Ni udhaifu sana kuleta mambo yako binafsi kwa watu wasiokujua na ambayo hayana uhusiano na kinachojadiliwa (another evidence that you are academically ignorant).
Nimegundua najadiliana na mtoto asiyejua lolote zaidi ya matusi na kurudia rudia yale yale yasiyo na mashiko. Sijawahi kusikia mtu anapigania hoja kwa mtindo wako. Kila la heri katika kupigania "hoja" finyu ya GPA.
Kuliko nisome chuo cha private,bora niishie form 6 tu.
shule za private ndo zinazoongoza...unakutata ni div 1 tupu kwanini?
Wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya PRIVATE kama SAUT,RUCo(Ruaha university college),MWENGE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY,ARUSHA UNIVERSITY,ST.JOSEPH UNIVERSRTY,TUMAINI DAR,TUMAINI IRING,TUMAINI MAKUMIRA,ST.JOHN,TEKU,SEKOMU,EUKENFORD,nikagundua kwamba wanagraduate na G.P.A kubwa sana yaani unakuta G.P.A za 4 zimejaa hadi unashangaa ! na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya PRIVATE wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya PRIVATE wanapewa G.P.A kubwa sana je ni sababu za kibiashara
ila sio kwa chuokikuu
Hapa ndo tunaona nani mkorofi! siwezi kukubaliana na mawazo yako hata kidogo kwa sababu nilichoandika kwenye thread yangu kipo wazi kabisa nani hajui vyuo vya PRIVATE wanagraduate na G.P.A Kubwa? Nani anayebisha kwamba vyuo vya PRIVATE vinachukua division three nyingi na mbovu? Nilichoandika ni ukweli na nitaupigania kwa nguvu zote halaaa
hakuna ukweli wowote...mbona vyuo vya serikal watu huwa wanaenda na division one lakn wanaondoka na gpa chafu? Utafiti uliofanya ni wa muda gani?wap evidence?wakuu nimefanya utafiti kwenye vyuo vya private kama saut,ruco(ruaha university college),mwenge university,jordan university,arusha university,st.joseph universrty,tumaini dar,tumaini iring,tumaini makumira,st.john,teku,sekomu,eukenford,nikagundua kwamba wanagraduate na g.p.a kubwa sana yaani unakuta g.p.a za 4 zimejaa hadi unashangaa ! Na tunajua kabisa asilimia kubwa ya wanafunzi wanaochukuliwa kwenye hivi vyuo vya private wamepata division three zile mbaya mfano,15,16,17,! Hebu tujadili wakuu kwa nini hivi vyuo vya private wanapewa g.p.a kubwa sana je ni sababu za kibiashara
hakuna ukweli wowote...mbona vyuo vya serikal watu huwa wanaenda na division one lakn wanaondoka na gpa chafu? Utafiti uliofanya ni wa muda gani?wap evidence?
walimu vyuo vya private wanapodoa matokeo ya wateja wao(wanafunz) il kuvutia wateja wengne kwa wingi.OVERRR!
Alafu na necta inapodoa matokeo ya shule za private ndo maana zinaongoza ili kuwavutia wanafunzi,kwakuwa necta inamiliki mradi wa shule za private....si ndo ivyo?walimu vyuo vya private wanapodoa matokeo ya wateja wao(wanafunz) il kuvutia wateja wengne kwa wingi.OVERRR!
Alafu na necta inapodoa matokeo ya shule za private ndo maana zinaongoza ili kuwavutia wanafunzi,kwakuwa necta inamiliki mradi wa shule za private....si ndo ivyo?