A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa na competition kwenye kozi za Afya sikupata chuo katika kozi nilizokuwa nataka kama Pharmacy, MD kwa level ya Bachelor nikaamua kuanzia level ya Diploma ili nikimaliza niweze kuendelea Bachelor.
Nimemaliza 2023 Diploma na GPA ya 4.4 FIRST CLASS kwa Muhimbili hiyo GPA ni Among of Best students, mitihani ya Ndani semester Exams wanakaza sana' Sasa mwaka 2024 nika-apply Muhas Bachelor ya pharmacy, cha kushangaza ndugu yangu wote mpaka Best student wetu hakupata na O-level ana division one pia.
Nilivyokuja kuangalia selected Applicants waliochaguliwa ndio wana GPA kubwa 4.9 na 5.0 lakini kwenye TCU guidebook wanasema kama umefaulu vizuri O-level phys, maths, Bios na Chem ni kigezo Muhimu Apart from GPA ikabidi nifanye Ujasusi maana Candidate namba za form 4.
Zinawekwa kwenye selection, nikaanza kufuatilia mmoja baada ya mwingine kwa waliotokea Diploma sizungumzii wale wa form six, nilichokiona ni maajabu unakuta mtu ana Division 4 ya 26, div 4 ya 28 div 4 ya 29 na masomo ya Science ana D flat na kuna wengine mpaka wana F ya Maths wameenda kusoma vyuo vya private hivi vinavyotangazwa kwenye Tv, sijui City, excellent n.k
Huko Elimu ni Rahisi wanajali pesa lakini ukija kuangalia GPA ya 5.0 ya huko ukimchukua na mtu mwenye 3.7 ya Muhimbili ni watu wawili tofauti.
Mwaka uliofuata 2025 nikaamua ni-apply vyuo vingine UDOM na Bugando (CUHAS) Majibu ni yaleyale not selected due to competition, kuchungulia matokeo yao ndo yale div 4 au div 3 za mwisho.
Aisee hii ni Aibu kwa Taifa Unamuacha mtu ana Div 1 O-level, advance ana Div 2 unaenda kumchukua mtu ana Div 4 ya 29 au 30 eti kisa GPA na hakuwa na Vigezo vya kwenda Advance, huwa nafikiria Taifa linaelekea wapi? Yaani Vilaza ndo wanapewa nafasi hadi nachoka ndgu yangu.
Vyuo vya Private vya Diploma za Afya hawana uwezo 'ndo maana kila kukicha wanalalamikia Pharmacy Council kufeli mitihani ya leseni unakuta mtu ana GPA ya 5.0 mtihani wa leseni miaka mitano hajawahi kufaulu unakuta dogo wa Muhimbili au Mbeya college au Mwanza college vile vyuo vya serikali vinavyotambulika mtu ana GPA ya 3.5 lakini mtihani wa leseni anafanya mara 1 tu na anafaulu sababu hata vigezo vya udahili ni Tofauti.
Mfano sisi tuliomaliza Muhas hakuna mwanafunzi yeyote aliyekuwa na div 2 Olevel wote ni div 1 nenda private sasa mpaka div 4 ya 32 wapo'
yaani Karne ya 21 hii science na Technolojia Unakuta eti vigezo vya kusoma Diploma ya Afya ni D4 ni Aibu wakati Afya ni kozi za kusomewa na watu intellectual, Kenya tu wenzetu Bila C flat husomi' ni Aibu kwa Taifa.
Inamaanisha Muhimbili inapingana na TCU guidebook Mtu ana "F" ya physics Anachukuliwa Mtu Ana B au C anaachwa eti kisa huyo Kilaza Diploma GPA ana 5.0 hata kama ana hiyo hana vigezo vya kusoma Bachelor anazibia wengine wenye uhalali.
Hapo ni Ufaulu wa physics au Engineering Science kwa walosomea Technical School ndo inahitajika pia uwe na At least D sasa mtu ana F ya Maths au Phyz kapataje Admission ya Bachelor na Vigezo hana.
Tafuta Selection za Muhas Bachelor Degree 2024/2025 na 2025/2026 Fanya Research kwa zile namba zilizomaliza miaka ya Nyuma 2019 kushuka Chini hao ndo walotokea Diploma ' Angalia matokeo Yao wapo wenye Vigezo sawa lakini kuna wengine hawana Vigezo kabisa vya kusoma Bachelor According to TCU guide book.
TCU inasema you must have D in Phy, Bios, Chem, Maths and English ukishasema Must hiyo ni lazima sio Added Advantage'.