Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

Serikali ya mama imewasikia imeongeza bajeti kwa watafiti na maofisa ugani kama hivi 👇

 
Mimi mwenyewe chuo nlkuwa mtoro sikumbuki hata jina la kozi yangu
 
Mi siamini.

Yaani na kufaulu kafaulu ila hajui hata gonjwa moja? Sasa mitihani ilikua ina maswali gani?
sina sababu ya kuleta uogo hapa, nakwambia nilichoshuhudia. Na wanasema kuwa priority ni kulima mikorosho na mazao mengine
 
Kwa tanzania km umezaliwa kijijini sioni umuhimu wa kwenda chuo cha kilimo kwani tayari unakuwa ntaalam
Hahahhhh nimecheka sana mpaka mteja wangu amenistukia

Ngoja kwanz ni relax anathesia iingie vzr nifanye spaying.
 
Kuna jamaa wa kilimo nilimuitwa shambani migomba michache ilikuwa inaoza kabla haijazaa , akaniambia ng'oa yote shamba zima Anza upya, shamba la ekari 2
 
Nami naona wanavyojibu kimzaha mzaha, and this reflects the perception of majority of people on the value of kilimo na ufugaji and may be pia walimu wanaon hivyo ndiyo maana wanawalimisha tu. Wapo pale kupata mshahara. Kama ingekuwa medicne nadhani response zingelikuwa tofauti.
 
Pamoja na kuwa na wasomi wengi kama vile maprofesa na madokta na wanazuoni lakini;

Mdudu mbu ametushinda kumuangamiza na kumtokomeza asiwepo kabisa.

Nzi ni KERO KERO KERO ,tumefail kugundua namna ya kuwatokomeza.

Fuga kuku halafu waugue umuite mtaalamu msomi aliyebibea katika kutibu wanyama na ndege ni shida kubwa.

Elimu yetu bado ina changamoto sana
 
Nami naona wanavyojibu kimzaha mzaha, na hii inadhihirisha watu wanavyokichukuulia kilimo na training/vyuo vyake vitu vya "kipuzi" kitu ambacho iyo swa. kama ingelikuwa medicine wasingelijibu hivyo
 
Ana interest Sana, Tena GPA ya over 4. Highly determined to have a degree in agriculture ndiyo maana alikazana kupata GPA kubwa isije mletea kikwazo
Kama kumaliza chuo cha kilimo halafu hajui lolote namwomba asije akarogwa anaomba kwenda kusoma SUA, haki ya nani hatiboiiiii!!
 
Nami nakuwa na wasiwasi if will manage.
Kama kumaliza chuo cha kilimo halafu hajui lolote namwomba asije akarogwa anaomba kwenda kusoma SUA, haki ya nani hatiboiiiii!!
 
Nami nakuwa na wasiwasi if will manage.
Mkuu sikila atakaye soma taaluma fulani basi atabobea kwenye taaluma hy
Life linakushep uchange
Usikute huyo jamaa alisoma kweli kilimo lakini akaona abadili mtazamo kutokana na kuyafikia malengo yake

Binafsi mimi ni mtaalamu wa mifugo lakini nilisha achana na hizo bishe leo hii ukiniambia nichukue hata blood sample kwenye jugular vein siwezi lakini mwanzo nilikuwa smart kabisa kweny kada hii ya medicine
 
Youe scenario is differet from this one. Wewe uliyajua mambo ya veterinary medicine, ukaacha kwa kuangalia pengine. Sasa huyu ananipa mashaka na acquired knowledge..... let us wait and see
 
Fuga kuku halafu waugue umuite mtaalamu msomi aliyebibea katika kutibu wanyama na ndege ni shida kubwa.
exactly, nashukuru umenielewa vema. Ngombe anaumwa mastitis, unamleta mtaalamu wa ngombe, uaona kabisa kuwa huyu ni mbabaishaji. Unaamua ku google, unaweza kupata maelekezo mazuri kuliko kumwita "mtaalamu" wa mifugo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…